GE2025 Shekhe Ibrahim Mavumbi: Bila kujali dini jitokezeni kupiga kura Oktoba 29

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Alihaji Shekhe Ibrahim Mavumbi, ametoa wito kwa wananchi wote bila kujali dini wanayo abudu, kujitokeza kupiga kura ifikapo Oktoba 29, mwaka huu, ilkutekeleza haki yao ya msingi ya kuchagua viongozi watakao waongoza.

Your browser is not able to display this video.
 
Sijui waumini wake wa NRNE wanajisikiaje.

Dini zina faida ndogo sana Africa kuliko hasara zake.
 
Bila kujali dini zao.. WHY this? Btw sio wote wanaridhika kwa kupewa pilau mbuzi Pepsi barid ndizi mbivu kama kifungashio!!
 
Aache ujinga. Dini inahusiana vipi na kupiga kura?
 
Huu ndo utakua uchaguzi wenye malipo mazuri ya dili za uchaguzi
 
Kwa hiyo na wafuasi wa Gwajima na wafuasi wa Kitima Je wanachulia mambo rahisi hawa mbona Mashekh wana wasi wasi kuna shida gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…