Maadili yanayotokana na mafundisho ya vitisho ya dini hukuza watoto waoga na wanafiki.
Ona washika dini wasivyo na maadili; ni wezi, waongo, mafisadi, wavivu, wauaji na kadhalika.
Kisha hapo, tazama nchi wanazofundisha maadili kwa kuelewesha watoto logic nyuma ya hayo maadili wanayofundishwa walivyo na utu, uadilifu, heshima n.k.
Bado tuna safari ndefu kama mwaka 2025, tunategemea vitisho vya biblia na kurani kufundisha watoto maadili.