Shekhe Mazinge naye kaunga juhudi za harakati za upako. Jana nilipokuwa nashuhudia juu ya Shafii na Mazinge wanaomwita Dr. Sule mnganga, nao sasa kuangukia mle mle.
Kuna muislamu mmoja sababu ya kuwa na mahaba na Mazinge akakanusha. Sasa ushahidi huo hapo. Hivyo waache kelele kwa Dr. Sule, mwanamatengenezo ya wazi katika Uislamu. Yale ambayo yalikuwa yanafanyika kwa siri akayaweka wazi, akapingwa sana, ila sasa wameona jamaa anakunja noti huku wao wanapiga kelele.
Ipo hivi, anachofanya Sule na Firdaus kina ruhusiwa katika Uislamu na ushahidi upo wa kutosha. Siku moja nitaweka hapa.
Anyway labda hili litasaidia kuokoa wamama wa kislamu wanaokimbilia kwa Mwamposa, nilisikia (ga) Dr. Sule anasema hivyo.
Bado manabii tu wa upande huo kutokea kwa wingi like Mizra Gulam na Eliyasa wa Tanzania ili kutumiza Mathayo 24:24. Bado mtaona mengi na midomo yenu hiyo yenye majivuno na kelele itafungwa.

Njaa Haina baunser. Ukifuzu hicho kitabu Cha kiarabu hatima yako ni kuwa mganga wa JADI. Nenda kwenye Kila nyumba zao za ibada nje wanauza madawa ya kienyeji na ya mwarabu aliyewaletea dini. Nyingi ni feki za kuongeza nguvu za kiume sijui Kuna tatizo gani kwenye waoaji wa wake qwngi