Kama amemaanisha mtu mbabe asiyesikia,asiyeshaurika,akiamua lake lazima liwe.basi yeye sio kama hao.
Yesu hakuwa mtata ila alikuwa mchokozi ila mwenye majibu ya kuudhi tu na alipotiwa mikononi aliadhibiwa bila hata utata! Na waliomuadhibu aliwaombea mungu awasamehe!
Muhamad hakuwa mtata, alikua mpole tu,hakuwa mnyonge na japo hakupenda kudhurumiwa! Ila alipong'olewa meno bila hatia wala hakuwa mtata.ila aliwasamehe na kuwaombea mwisho mwema waliofanyia hivyo!
Sasa yeye huo utata kautoa wapi?
kama utata,mtata ni yeye asiwasingizie hao vipenzi vya watu!
Ajiombee tu mungu ampe afya,imani na roho ya upendo kwa watu wote!