Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
katika kile kilichoonekana wanafunzi baadhi walikuwa wamekosa nafasi za ajira ya ualimu baada ya jana kutoka kwenye mtandao wa wizara ya elimu, Kisandu na Mh.Shekifu waliwasiliana kwa ajili ya kuwaokoa wanafunzi wa chuo kikuu cha SEKUCO na wale wa UDOM waliosoma Special Eduaction baada ya majina yao kutokuonekana jana na wale walimu waliosoma BED naokutokuonekana majina yao. Mvutano tulioshuhudia leo asubuhi majira ya saa2 pale ambapo baadhi ya tuliokuwa tumekosa nafasi hizo, waheshimiwa hawa wawili walikuwa wakivutana huku Shekifu akimlau Kisandu kuwa anataka kupata Credit kwa swala la walimu kuachwa baadhi na Kisandu akimlau Shekifu kama mbunge kwa kushindwa kutataua tatizo la walimu wa chuo cha sekuco kukosa ajira, ndipo walipofikia maamuzi ya kuungana na kuaanza kuwalazimisha pale wizarani waseme ukweli kwanin baadhi ya majina ya walimu hayaonekani?
katika mvutano huo sisi ilikuwa ni kushangilia ule mvutano ili tukale maisha, watumishi walijitetea wakisema jana isingewezekana kuweka majina yote, dogo aliwalaumu mda wote walikuwa wapi maana tayari wizarani walimu walikuwa wameshaanza kujaa kujua hatima yao, baaada ya kama masaa mawili yaani majira ya saa4 asubuhi wakaja pale nje wakiwa na Shekifu na Kisandu na kutuambia majina yote yamewekwa kulikuwa na tatizo la kiufundi. Shekifu alianza kumtania kisandu lakini jimbo sikuachii.
MUONO WANGU;
kwenye matatizo ni vyema viongozi wakaweka itikadi pembeni na kushughulikia wananchi. hii ya leo imeokoa walimu wengi waliotaka kubaniwa mpaka wa vyuo vingine