SHEKIFU(mbunge) NA DEO KISANDU WALUMBANA NDANI YA OFISI ZA WIZARA YA ELIMU

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
katika kile kilichoonekana wanafunzi baadhi walikuwa wamekosa nafasi za ajira ya ualimu baada ya jana kutoka kwenye mtandao wa wizara ya elimu, Kisandu na Mh.Shekifu waliwasiliana kwa ajili ya kuwaokoa wanafunzi wa chuo kikuu cha SEKUCO na wale wa UDOM waliosoma Special Eduaction baada ya majina yao kutokuonekana jana na wale walimu waliosoma BED naokutokuonekana majina yao. Mvutano tulioshuhudia leo asubuhi majira ya saa2 pale ambapo baadhi ya tuliokuwa tumekosa nafasi hizo, waheshimiwa hawa wawili walikuwa wakivutana huku Shekifu akimlau Kisandu kuwa anataka kupata Credit kwa swala la walimu kuachwa baadhi na Kisandu akimlau Shekifu kama mbunge kwa kushindwa kutataua tatizo la walimu wa chuo cha sekuco kukosa ajira, ndipo walipofikia maamuzi ya kuungana na kuaanza kuwalazimisha pale wizarani waseme ukweli kwanin baadhi ya majina ya walimu hayaonekani?

katika mvutano huo sisi ilikuwa ni kushangilia ule mvutano ili tukale maisha, watumishi walijitetea wakisema jana isingewezekana kuweka majina yote, dogo aliwalaumu mda wote walikuwa wapi maana tayari wizarani walimu walikuwa wameshaanza kujaa kujua hatima yao, baaada ya kama masaa mawili yaani majira ya saa4 asubuhi wakaja pale nje wakiwa na Shekifu na Kisandu na kutuambia majina yote yamewekwa kulikuwa na tatizo la kiufundi. Shekifu alianza kumtania kisandu lakini jimbo sikuachii.


MUONO WANGU;
kwenye matatizo ni vyema viongozi wakaweka itikadi pembeni na kushughulikia wananchi. hii ya leo imeokoa walimu wengi waliotaka kubaniwa mpaka wa vyuo vingine
 
Mkuu mtoto wa mnyonge wewe kila anapokuwepo Kisandu unakuwepo? Sijawahi ona post yako yoyote zaidi ya Kisandu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Molemo huyu ndo mwenyewe...yani akizidiwa huku analukia huku kujitetea!anahangaika sana
Mbinu za kitoto sana za kutaka kupanda chati. Chati hujipandishi ila watu ndio wanakupandisha.
 
Hiki ni kichekesho kabisa, hata mwandiko wenyewe ni wa Deo Kisandu
 
Mimi nadhani kama kweli Kisandu kapigania ajira za hawa watoto wa wakulima basi ni jambo la kumpongeza bila kujali kwamba ni yeye mwenyewe alieleta uzi au ni mpambe wake.

Hoja hapa isiwe nani kaleta uzi, hoja iwe je alichofanya (kama ni kweli) kina tija?. hata mimi huwa simpendi kisandu kutokana na kuleta hoja zilizo chini ya kiwango lakini hili lisiondoe utashi wetu wa kufikiri na kuona kila jambo jema likifanywa na kisandu basi linakua baya nadhani tutakua hatufikiri vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…