Shela

Shela

EvJ

Senior Member
Joined
May 3, 2011
Posts
194
Reaction score
25
Hivi wanaforun watu or most of tazanian TUNAELEWA MAANA YA SHERA NYEUPE SIKU YA HARUSI?
 
Wanaforun ni kina nani?
Shera ni nini?
Tazanian ni wapi?

Nadhani ungetuambia maana yake ingekua poa zaidi.
huh.................sidhani ka atarudi tena mana haya kakutana nayo uso kwa macho
 
Huyu mdada kakurupuka au alikuwa........dah au umecheat?
 
kaeleweka mbona mnamkatisha moyo, anamaanisha shela ya inayovaliwa na mabinti siku ya harusi, ninavojua inamaanisha binti ni bikira na ni msafi wa moyo hivo mume wake ndio atakuwa wa kwanza kuuona uke wake na kulala nae. ni utamaduni uliorithiwa kwa wenzetu nchi za kimagharibi, kwa sisi afrika mwali anawekewa shuka jeupe asbh mama mkwe anakuja kukagua kama kuna damu ndio ishara ya ubikira, nawakilisha kwa niamba ya mtoa mada alieandamwa, nampa pole ndio JF hiyo lazima kuwa makini.
 
Unaposema ndo wakwanza kuona .......... wake inamaana hata alipokua anaogeshwa alikua haangaliwi?!
 
Mh,hii mada kesha ingia lizzy kuchangia ngoja nitoke kwanza
 
Jamani....nala IDs au avatars mimi?!

wanatamani kuwa na swaga kama zako ila hawawezi ndo maana wanakuachia njia lakini labda biashara 9enu zinafanana maana upinzani hauji kama we unauza karanga wao wanauza samani.
 
lokissa, what if huyo bwana harusi ndo wa kwanza kuutumia ila alionjeshwa kabla ya siku rasmi? halafu siku ya harusi akampa mama yake mrudisho nyuma?
kaeleweka mbona mnamkatisha moyo, anamaanisha shela ya inayovaliwa na mabinti siku ya harusi, ninavojua inamaanisha binti ni bikira na ni msafi wa moyo hivo mume wake ndio atakuwa wa kwanza kuuona uke wake na kulala nae. ni utamaduni uliorithiwa kwa wenzetu nchi za kimagharibi, kwa sisi afrika mwali anawekewa shuka jeupe asbh mama mkwe anakuja kukagua kama kuna damu ndio ishara ya ubikira, nawakilisha kwa niamba ya mtoa mada alieandamwa, nampa pole ndio JF hiyo lazima kuwa makini.
<br />
<br />
 
ninaposema wa kwanza kuuona uke wake inalelewka lizy manake ni kuwa mumewe atakuwa wa kwanza kumfahamu kimwili,l kulala nae au kama hujalelewa tena wacha niweke ungenge HER HUSBAND WILL BE THE FIRST MAN TO KNOW HER CARNAL OR THE 1st to have sex with her since she was born

.
Unaposema ndo wakwanza kuona .......... wake inamaana hata alipokua anaogeshwa alikua haangaliwi?!
 
kingasti kwa sasa hakuna anefunga ndoa na mtu bila kuonjana kama wapo basi ni moj akati ya mia.hilo vazi ni taratibu tu tumerithi hata ukivaa njano au nyekundu kanisani padri au mchungaji hatokurudisha. sijalelewa una maana gani uliposema mrudisho nyuma lugha yetu ngumu

lokissa, what if huyo bwana harusi ndo wa kwanza kuutumia ila alionjeshwa kabla ya siku rasmi? halafu siku ya harusi akampa mama yake mrudisho nyuma?
<br />
<br />
 
shera nyeupe ni kuwa hajawahi kuguswa................lol..........mtoto wa watu huyo..................
 
Mhhh kwa ulimwengu huu ni 2-100 wenye uhalali wa kuvaa shela coz wote washamegwa
 
Back
Top Bottom