Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 Oct 8, 2022 #21 Sol de Mayo said: Usidhulumu wala usikubali kudhulumiwa Click to expand... kweli kabisa kwenye ilo
Scrum Master JF-Expert Member Joined Apr 28, 2021 Posts 243 Reaction score 424 Oct 8, 2022 #22 Hapo ningetoka hapo na full tank kama fidia. Bila hivyo kinaumana.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Oct 8, 2022 #23 Huu msala uliishaje?
Hajto JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 5,646 Reaction score 5,606 Oct 8, 2022 #24 hapo si uzembe ama wizi wa muuzaji bali ni wizi wa mwenye sheri,dili na mwenye sheri utalamba pesa ndefu na tena anaweza hata kukupa bonasi ya mafuta hata mwezi
hapo si uzembe ama wizi wa muuzaji bali ni wizi wa mwenye sheri,dili na mwenye sheri utalamba pesa ndefu na tena anaweza hata kukupa bonasi ya mafuta hata mwezi
kajojo JF-Expert Member Joined Jun 9, 2012 Posts 2,946 Reaction score 5,470 Oct 8, 2022 #25 Mzhokomi said: Yan unaend sheli kununua mafuta ya 45k, unapewa lita6.62 x3019=45000?, Yani leo moto pamechimbika View attachment 2379979 Click to expand... Njombe kuchele, komaa nao mpaka kieleweke
Mzhokomi said: Yan unaend sheli kununua mafuta ya 45k, unapewa lita6.62 x3019=45000?, Yani leo moto pamechimbika View attachment 2379979 Click to expand... Njombe kuchele, komaa nao mpaka kieleweke