Shemeji aliwahaidi nini walimu, kwa bajeti inayojadiliwa.

Mwl.mpya

Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
8
Reaction score
1
Wakuu nifumbueni macho naskia kuna ahadi ya kuleta faraja kwa watumishi wa umma, kuelekea bajeti ya 2014/2015.
 
Mwl.mpya mnamo tarehe 01 may, jk (shemeji wa
walimu) alithibitishia umma kwamba mwaka huu wamepunguza kodi na kuongeza mishahara inayoridhika kwa watumishi wote wa serikalini.
Kulikua na mgogoro kati ya wizara ya utumishi na hazina kuu kuhusu nyongeza ya mishahara kwa watumishi, hazina ilikua ikidai ipungue kidogo lakin wizara ya utumishi ikawa inadai iongezeke sana,
Hivyo jk. Akaingilia kati akakubaliana na wizara ya utumishi kwamba mishahara iongezeke sana.
NB; keep on waiting mkuu, utakula vizuri kuanzia july.
 
Last edited by a moderator:
Kumbeee, na iwe ivo. Wacha nianze kulitazama bunge kwa matumaini makubwa.
 
Nami natamani kama ningekua mwl. Maana mwaka huu kipaumbele ni nyie lakn sisi wa makampun binafsi siyo kabisa, so risk
 
Mwl.mpya mnamo tarehe 01 may, jk (shemeji wa
walimu) alithibitishia umma kwamba mwaka huu wamepunguza kodi na kuongeza mishahara inayoridhika kwa watumishi wote wa serikalini.
Kulikua na mgogoro kati ya wizara ya utumishi na hazina kuu kuhusu nyongeza ya mishahara kwa watumishi, hazina ilikua ikidai ipungue kidogo lakin wizara ya utumishi ikawa inadai iongezeke sana,
Hivyo jk. Akaingilia kati akakubaliana na wizara ya utumishi kwamba mishahara iongezeke sana.
NB; keep on waiting mkuu, utakula vizuri kuanzia july.

ANGALIZO! usianze kukopa ndg yangu isije ikawa ile ya mwaka jana ongezeko la elfu 30 kodi sh elf 50! shauri yako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom