Mwl.mpya mnamo tarehe 01 may, jk (shemeji wa
walimu) alithibitishia umma kwamba mwaka huu wamepunguza kodi na kuongeza mishahara inayoridhika kwa watumishi wote wa serikalini.
Kulikua na mgogoro kati ya wizara ya utumishi na hazina kuu kuhusu nyongeza ya mishahara kwa watumishi, hazina ilikua ikidai ipungue kidogo lakin wizara ya utumishi ikawa inadai iongezeke sana,
Hivyo jk. Akaingilia kati akakubaliana na wizara ya utumishi kwamba mishahara iongezeke sana.
NB; keep on waiting mkuu, utakula vizuri kuanzia july.