Shemeji ameendelea king'ang'ania

Shemeji ameendelea king'ang'ania

Naju23

Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
47
Reaction score
77
Wakati naleta hii ishu nilishambuliwa lakini jamaa ndio ashafika kwa dada. Dadaak3 humuelezi kitu japo shemeji anawoga mkubwa kwangu.

Anajua namuacha tu..

.lkn ni mtu wa kwenda kuanzisha maisha yake. Miaka 30 sio wa kilealea naongea na wife jambo hili anapptezea. Tatizo lake hana mvumilivu ktk kuanza.

Dogo ni mvivu mno, yaani hajiongezi kabisa
 
Ume changanyikiwa kuliko hata shemeji.. afu sijui kwa nini vijana wa kiume siku hizi mna tamani kuwa na K .au ndo ugumu wa maisha. eti bro kuna haja ya kujifanya mwanamke uta vuliwa ubingwa pimbi wewe
 
Back
Top Bottom