Shemeji anadai massage

Akija ofisini kwako kama mteja utamkatalia?
 
<br />
<br />
 
kwel shemeji hana akil anataka vya shemeji yake du hilo ni bonge la bomu mwajiwekea sepa mapema kabla hakijanuka
 
Ili kulinda ndoa ya dada yako hama hapo, kwanza unafanya nini kwa watu mtu mzima na kazi unayo, kaanze maisha yako na wewe upate wa kwako
 
pole sana dada, fanya mpango uondoke yaani ujitegemee...
 
Kweli dunia inamambo toka kitambo, dunia hii imejaa chuki na majigambo,,

Fanya usepe binti, kama umeshafanya kazi miaka 2, kufukuzwa sio lazima uambiwe toka, hata matendo yanatosha kujua kuwa hutakiwi.....
 
kama unafanya kazi tafuta nyumba upange usije kuingia matatizoni bure,km huna uwezo rudi nyumbani,kwani huna kwenu????????
 
Hebu weka picha yako hapa ndio tutajua ni kwanini anakufuata. kisha tutakupa ushauri......otherwise sepa haraka kapange mtaani. unasubiri mpaka ujenge nyumba yako ndio uache utegemezi? kwa maisha haya ya siku hizi unadhani wawezajenga nyumba kwa siku moja weye?
.Aisee, i can see your first sentence
kweli umeonesha hoja iliyojificha
 
Una hakika hujakaribisha huo mtongozo mwenyewe, weka uso wa mbuzi uone kama atakufata
 
75% ya massage parlours hapa Dar zinatoa huduma ya NGONO FASTA. Shemeji anajua hiyo, ndo maana anataka huduma.
 
Kama una kazi kwanini usitafute chumba ukapanga?.
Kama kazi yako ni masage tu kwanini yeye umkatilie huduma?
Mfanyie masage kama wengine unavyowafanyia, au wengine huwa unawapa na mambo mengine?
 
Maombi ya shemeji yanatokana na picha mbaya ya huduma ya 'message' hapa Dar.
 
Wadau, mbona mnamshambulia huyu Jamaa bure, Jamaa anahitaji massage na sio kitu kingine!! sasa huko kubaka kunatoka wapi...

hawa watu wa massage si ndio physiotherapist au, si sawa na matabibu wengine.... mpe huduma kama au Mdada anamtamani shemejie so anajua akimpa full massage atatamani ampe mzigo

au huko unapofanyia watu massage huwa unawapa mzigo, kama ni hapana mfanyie tu SHEMEJIII
 
...dahhh, ama ugonjwa hauchagui dakitari,...
kwani kuna shida kufanya massage ilhali nawe umetinga full overall la jeans?
au raha ya masseuse ni avae nusu uchi?
 
msubir dada ako jarud ili umfanyie hiyo ki2 huku dada ako anashuhudia.kwa sasa kimbia miguu ifike kisogon maana usije ukapata kitoto ambacho kitashindwa kimuite dada ako na watoto wa dada ako nan?
 
Mhhh nahisi kama mnatamaniana vile, hama kwa watu mrembo usije leta maafa
 
<br />
<br />
yaaaah of couse,massage na overolll wapi na wap,?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…