ndugu wana JF,leo nimeamua kuomba msaada wenu wa kiushauri,,,,!ni mwezi wa 2 sasa tangu nilipofika kwa kaka yangu akiwa anaishi na mke wake,mtoto mmoja na shemeji yake yani mdogo wa mke wake..!lakini cha kushangaza huyu shemeji mdogo amekuwa akinitaka kimapenzi hadi imekuwa kero kwangu...!nimekuwa kwenye wakati mgumu sana coz dada yake (shem)namheshimu sana...
haswaaaa ningeshangaaa nisingekuta komenti ya aina hiiKwani ukimpa kitu roho inapenda utapungukiwa na nn?
Mpe bana haki yake ya penzi anayo penda shemejiiiiiiiiii
wanaume hakuna siku hizi...
wavaa suruali tu ndo wanaongezeka....
dume zima unalalamika eti mdada anakutaka kimapenzi...
Ndio tatizo la watoto kukulia getini, au kukulia seminarini. AU haya ndio madhara ya kupatia suna hospitali hamjafundishwa uanaume ni nini.wanaume hakuna siku hizi...
wavaa suruali tu ndo wanaongezeka....
dume zima unalalamika eti mdada anakutaka kimapenzi...
muwekeee uso wa mbuzi huyo,au mtafute msichana yoyote hapo mtaani kula dili naye uje umtambulishe hapo home kama galfriend wako,usisikilize midume ya humu inayokwambia umbandue....haina adabu wala haijui mipaka,inatembea na mashemeji zao pamoja na housegals nahisi ina ngoma haitaki kufa peke yao inatafuta wafuasi!!!!