Rafiki yangu, mwanamke wa mtu ni hatari sana. hebu jiulize, uko tayari kugombana na rafiki yako kwa ajili ya huyo GF wake? Kama anaweza kumwacha rafiki yake kwa ajili yako, huoni kuwa likely anaweza kukuacha kwa ajili ya mtu mwingine? Una hakika wewe ni bora kuliko mwenzako? Ukijiuliza maswali hayo na kupata majibu, utajua nini cha kufanya....