Siyo kweli mkuu....

linapokuja suala la mume...hakuna kuaminiana...Yaani mtu hawezi kumwani hata mama yake sumbuse dada??? Mwanamume ukitumia udhaifu huo lazima utawagombanisha na kubaki na mke wako kwa raha zooote!!

Hata siku moja!!...ukifumaniwa ni lazima ukatae!. Hata mkeo akikufumania live, mwambie "It's not what it looks like"..kataa,kataaa!!
sikiliza nyimbo ya Shaggy- "It wasn't me"

Acha utani bana! Yaani kitu redi hended halafu unaleta masihara? Huyo mwanamke akikusamehe ni kwa mapenzi yake tu lakini sio kwa sababu umekataa kosa.

ili nikubali pia itabidi anihakikishie kuwa nitakapomtetea wife akininyima yeye awe tayari kunihudumia

Hata siku moja!!...ukifumaniwa ni lazima ukatae!. Hata mkeo akikufumania live, mwambie "It's not what it looks like"..kataa,kataaa!!

Hata siku moja, usikubali hii haisidii bali itaharibu ndoa.

The eleventh commandment "Thou shall not get caught,if caught thou shall not admit".
Mkeo akikupenda,atakupa the benefit of doubt.Ukikataa atajitahidi kuchunguza...ukikubali,maisha yako yote yatakuwa na kidonda.Ukichelewa kutoka kazini hata miaka kumi baadae atakwambia ulikuwa unakula uroda somewhere.

HIYO COURAGE YA KUKATAA UTAIPATA WAPI KAMA UMEFUMWA LIVE? VINGINEVYO BASI HAPO UNA WIFE AMBAYE HAKUPENDI.