Duniani kuna mambo
niko lunch moja hapa karibu na sheraton ya mwanyamala dada mmoja anasikika akimwambia
mdogo mtu we kama uwezi kumtunza si tutakusaidia na kama uji mbona nimeshamfulia sana mumeo
chupi we unanihisi leo lo!!!yaalaah nkaona yawezekana sie tulieweka mashemeji yawezekana
tukaponja nini siku moja....jamani unakula kuku na yai lake ni halali kweli???
Kwan chupi sio nguo??mi namfuliaga tu hadi nyanya puzo!!
Nasikia TGMP/ na TAMWA wamepiga marufuku wanawake kuwafulia chupi waume zao eti ni kinyume na haki za msingi za binadamu mwanamke
Kwan chupi sio nguo??mi namfuliaga tu hadi nyanya puzo!!
kumbe una kaa kwa shemeji...
Wanaume wavivu jamani! Hadi chupi lako unashndwa kufua hadi ufuliwe. Khaa!
hata mm napinga hili la chupi kufuliwa na mke
ujinga mtupu kwann usifue bafuni ukioga hata soksi fua mwenyewe
wanawake acheni kuwanyenyekea midume zembe,wote mko kitu kimoja ya nn ww kuwa kama punda wake???
zama za miaka 50 imepita.
kumfulia chupi maana yake kufanya naye tendo la ndoa kama mume na mke na siyo kuloweka chupi kwenye komoa na kuipikichapikicha!
Nasikia TGMP/ na TAMWA wamepiga marufuku wanawake kuwafulia chupi waume zao eti ni kinyume na haki za msingi za binadamu mwanamke