uzuri na ubaya wa wanawake ni kwamba 'you can play with their brains the way you wish'. Leo anakwambia yuko engaged, kesho anakwambia jamaa yake anamsaliti, next time anakuomba utoke naye, then anaomba umsindikize kwenye sendoff ya rafiki yake, halafu anaanza kukulaumu kwa nini umepunguza mawasiliano kwa kwani anajisikia lonely mwishowe anadai angekuwa na furaha ya mapenzi angepata bf kama wewe. Lastly mtu unajibebea 'mzigo' kama huna akili nzuri. As a conlusion, anakuomba uwe mstaarabu ktk wizi wenu kwani jamaa yake amejirudi na wako pamoja. so she needs some sort of respect.