Shemeji mbona unatuumiza?


Sijajifanya kuwa msimamizi. Laiti ungejua namna mimi, mke wangu na watoto tunavyo muheshimu usingelisema hilo. Ndiyo maana sikutaka kujificha nyuma ya pazia, nilimwambia "baba mdogo" aseme ni mimi nimesema. Kiukweli wao ndiyo wana nguvu juu yetu kuliko unavyodhani.

Simhesabu shemeji, ni zaidi ya shemeji; twamuona ni ndugu yetu, mama yetu. Kiumri kanizidi na heshima pia.
 
Last edited by a moderator:
mwacheni avae kwani ndio kumegwa huko anayejifunga mabaibui na Ninja mbona ndo tunaowapitia?
Hujasema anafanya kazi wapi km ni Air Hostess? shurti ivuke goti juu 2"
Kama ni Receiptionist mahotelini km FIVE ***** ivuke pia 1"
kama ni Bar maid wa hizi bar za Night Club na yenyewe ivuke magoti
kwani hao wote hawana waume?
Nina wasiwasi huyo mama ana miguu Chupa ya Bia na magoti hadi mapaja yanalipa ndio maana mume kayapenda
 

ndugu yangu, umekwisha toa ushauri kwa ndugu yako inatosha kaa kando mume na mke wasolve wenyewe....

Ndoa za watu ziacheni tu jamani ohooooooooooooooo..... Mie nimeishia hapo.... Sasa kasusa gari endeleeni kumwandama asuse na nyumba kabisa kama hujageukwa.......

Ubinadamu kazi kaka......

Mambo ya wanandoa waachie wanandoa wenyewe
 


sina ghadhabu mkurugenzi, nimetoa tu mawazo yangu.....

Na si lazima uyafuate....

Kusuka au kunyoa ni uamuzi wako......

Lakini tulio kwenye ndoa miaka kadhaa na kushuhudia ndoa kadhaa zikipanda na kushuka na kuona mambo ya ndugu kwenye ndoa na kuombwa kushauri ndoa za watu tunajua yaliyoko ndoani.....

Again take it or leave it.........

Pole kwa kukwazika......

Byebye
 
Mpitishe mitaa ya congo au manzese ashikishwe adabu
 
Pili pili ya shamba...
I wish mimi ndo ningekuwa huyo mdada...shemeji yako; na undugu na mume wangu ungekwisha

Hivi watu mtajifunza lini kutokuingilia ndoa za watu????

Inakuwaje mnaleta vijisheria vyenu kwenye imaya za watu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…