Shemeji wa kike wa baba yangu mdogo ananihitaji kimapenzi nimkubalie

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,217
shemeji wa kike wa baba yaNGU mdogo anani hitaji kimapenzi,tena ana niambia mimi na yeye si ndugu kabisa,zaidi baba yangu mdogo kumuoa dada yake.Na akaonggeza wazazi wake yeye waliooana ndugu iweje mimi ishindikane,alafu ni sield huyu mama mdogo.nipo njia panda.
Na nikifaa acha kabisaaaaaaa...........

kama unaona ni kifaa cha uhakika...
well hatuna cha kukushauri...

Shemeji wa kike wa baba yake mdogo zubeda!! Mmmh!

fantasy fantasy fantasy!!

Naomba mwongozo plz ........mbona hiyo ID yako na hiyo post havina ushirikiano?!!

Wee Zubeda,mnataka kusagana nn? Coz umesema shangazi wa kike wa baba ako mdogo! Au Zubeda ni dume?

Huu utata sasa unataka kwenda sawa na faza mdogo. But sio issue, the pursuit of happines ndo kila ki2, kaa vp cheki moyo unakwambia nini thn follow it.

.Na akaonggeza wazazi wake yeye waliooana ndugu iweje mimi ishindikane,alafu ni sield huyu mama mdogo.nipo njia panda.
Na nikifaa acha kabisaaaaaaa...........

Msitumie makosa ya walopita kufanya ndio usahihi kwenu, mnajua wao walipatwa na nini kwa kuoana ndugu? Jikaze na wewe bana, mnajirahisi mno na nyie!!! Waswas wangu utakua ushapiga afu ndo unatwambia ili uone kama ulikua upo sahihi. Afu eti yupo sield....! wew je, upo sield au ndo utamsaliti huyo uliyenae? Siamin kama huna...... Ila poa, eti mamako mdogo kifaa. Utanambia siku nyingine kama ulikubali. cjui ndo utaoa na ww alikoolea babako?

Kwani anataka kuolewa au kupigwa tu

Yeye anataka niwe mpenzi wake,ukishakuwa mpenzi chochote chaweza kutokea

We huna msimamo maana hata hujui ka unamtaka au humtaki kula mzigo ila ucfanye parking unasimama kwa muda unaendelea na safari yako

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…