zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
- Thread starter

- #21

Msitumie makosa ya walopita kufanya ndio usahihi kwenu, mnajua wao walipatwa na nini kwa kuoana ndugu? Jikaze na wewe bana, mnajirahisi mno na nyie!!! Waswas wangu utakua ushapiga afu ndo unatwambia ili uone kama ulikua upo sahihi. Afu eti yupo sield....! wew je, upo sield au ndo utamsaliti huyo uliyenae? Siamin kama huna...... Ila poa, eti mamako mdogo kifaa. Utanambia siku nyingine kama ulikubali. cjui ndo utaoa na ww alikoolea babako?
Naomba mwongozo plz ........mbona hiyo ID yako na hiyo post havina ushirikiano?!!
we piga mashine bwana. ila kama huna mpenzi oa kabisa

We huna msimamo maana hata hujui ka unamtaka au humtaki kula mzigo ila ucfanye parking unasimama kwa muda unaendelea na safari yako
\shemeji wa kike wa baba yangu mdogo anani hitaji kimapenzi,tena ana niambia mimi na yeye si ndugu kabisa,zaidi baba yangu mdogo kumuoa dada yake.na akaonggeza wazazi wake yeye waliooana ndugu iweje mimi ishindikane,alafu ni sield huyu mama mdogo.nipo njia panda.
Na nikifaa acha kabisaaaaaaa...........

jama wadogo zako kutoka kwa baba mdogo watakuitaje na huyo mwanamke atakuwa anamuitaje baba yako mdogo mambo mengine tusiwe na tamaa wanawake kwa nini ni wengi sana tafuta mwingine achana naye itatokea aibu hasa mtakapo kuwa na ugomvi ndio utajua nani ashauli au asishauli yangu ni hayo tu

zubedaaa...ushauri wangu ni kwamba..."mwambie babako mdogo kuwa mdogo wake mama yako mdogo anataka umgonge ngozi ila wewe hutaki kama vipi babako mdogo agonge double plattinum...hiyo itakuwa imekaa fresh.

we zubeda mbona sikuelewi unamtamani mwanamke mwenzio mbona jina lako ni la kike au semanya?

we piga mashine bwana. ila kama huna mpenzi oa kabisa
[B said:zubeda_mchuzi[/B];2483139]shemeji wa kike wa baba yaNGU mdogo anani hitaji kimapenzi,tena ana niambia mimi na yeye si ndugu kabisa,zaidi baba yangu mdogo kumuoa dada yake.Na akaonggeza wazazi wake yeye waliooana ndugu iweje mimi ishindikane,alafu ni sield huyu mama mdogo.nipo njia panda.
Na nikifaa acha kabisaaaaaaa...........
wewe ni wakiume au mwanaume??? U will regret

umenena amen
kumbe hujanisoma?! mi ID yako sina shida nayo. nlikua namaanisha cjakuelewa coz ID yako nikiisoma inaonesha ww ni ke na post nikiisome maelezo yake yanaonesha ww ni me .......ndio mana nkakuuliza mbn ID na post yako mama mmoja baba mbalimbali? ww ni me au ke? ili niweze kukupa ushauri.Toa ushauri ID siyo isue,