Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Tabia zipi za kiume hapo?mmh shost mbona ana tabia zakiume?????????
mwanasaikolojia nenden tena ata km aikufanya kaz last tym!!!!!!!!
muombe mungu thats sign of demon............waone wachungaji watakusaidia!!!!!
thats not a solution,Waweke mikanda/Picha ya XXX hapo mzuka utampanda tu
Stori za kupika hizi.Nina rafiki yangu ambaye nimemtangulia kuoa.
Mimi ndiye niliyekuwa bestman siku ya harusi yake.
Jana jioni kaniletea nung'uniko kuwa mkewe hapandwi na mshawasha wa kufanya mapenzi hadi apite chumba cha jirani kuwaangalia wakijifagadua.
Jamaa anaomba msaada ili mkewe aweze kurudi katika hali ya kawaida, anasema ameshapita kwa wataalam wa matatizo ya akili bila mafanikio.
Nina rafiki yangu ambaye nimemtangulia kuoa.
Mimi ndiye niliyekuwa bestman siku ya harusi yake.
Jana jioni kaniletea nung'uniko kuwa mkewe hapandwi na mshawasha wa kufanya mapenzi hadi apite chumba cha jirani kuwaangalia wakijifagadua.
Jamaa anaomba msaada ili mkewe aweze kurudi katika hali ya kawaida, anasema ameshapita kwa wataalam wa matatizo ya akili bila mafanikio.
mkuu, that is will also end the problem!!! wakuwa na "vitafunio" wanweza kunywa chai yao kirahisi zaidithats not a solution,
what man need is how to end the problems,
Halafu je, wanapokuwa wanafanya wale majirani wanatoa mwaliko? Je, kuhitaji kwao kunaendana na kule kwa majirani? Mbona haiiingii akilini?Masimulizi mengine bana...yanaweza kukufanya uanze kunyofoa nywele zako moja baada ya nyingine. Sasa ina maana hao majirani huacha mlango wazi ama? Au huwa anawalia chabo kupitia dirishani?