Shemeji Yangu Kamkimbia Mumewe na Mwanaye, Kisa, Mzungu na Range-Rover!!!!

Lol I cant believe,huyo Shemeji yako kamkimbia Mumewe ilhali ana Vitz,je sisi tulio na baiskeli itakuwaje?

haha hahaha! Wenye vibaiskeli mtakimbiwa na macho mtatobolewa.
Hahaha! Anselm umenichekesha sana.
 
Hivi siku hizi wanandoa wakifumaniana hakuna kurudiana eeh?
 
mzungu mwenyewe kamwona mwehu kama kamwacha mumewe kirahisi hivyo itakuwa yeye? wanawake wengine bana, na mtoto nae kamsusa tena mwambie kaka yako akaombe ile partition order asimkaribie mtoto huyo kwa mita mia tano.
 
Tatizo aliondoka kwa mbwembwe sana ndo maana kurudi ni taabu bora angekuwa hapohapo home then labda angepata msamaha
Waswahili wanasema aliondoka kwa matarumbeta na vigelegele halafu tena akiwa ndani ya range sijui lilikuwa ni RANGE SPORT AU VOGUE:lol::lol:
 
Kila siku mimi naimba humu ndani wanawake baba yao mmoja mama yao mmoja,hebu angalieni haya madudu!
 
eeeeeee!!!!!!!!! kwanza kabisa asirejee kwa vitz. upande mwingine mdada asikate tamaa chamsingi arejee kwenye ile club aliyokutana na Mzungu atapata mwingine mwenya Range , BMW , etc lol; Zaidi ya hapo arejee kwa MUNGU atubu na maisha yatakwenda vizuri
 
Hivi siku hizi wanandoa wakifumaniana hakuna kurudiana eeh?
Husninyo, Hili si fumanizi ni mtu kaamua kuanza mbele , wa kufumaniwa ni yule anaiba huku kichwani mwake akiihitaji ndoa yake
 
msiwalaumu wazungu hao bureeeeeeeeeeeee,jamani message sent kwa wakaka wa kiafrica/tanzania/weusi..wenzenu dada zenu tunataka marangeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!:lol::lol::lol::lol::lol::lol:


unajua gharama ya range wewe kwanza magar mengne wanawake hayawapendez hlo bov c bora nikamjengee bibi kanyumba kakisasa awapige bakora wenzake. et rangeeeeeeeeeeeeeeeeee na zitajawatokea puan
 

mwambie mzee wa vitz amsamehe walee mtoto tu
 
Mwambie Bro wako ajikaze kisabuni hivyo hivyo wala asirudi nyuma. Nitarudi...😛layball:
 
mimi sishauri, na sio lazima uchuke haya mawazo yangu. lakini kwa mimi huyo asingekua mke wangu tena.
 
duh! Dada kweli kakosa, lakini ndo yashatokea, kumbuka kuna mtoto kabinti kamiaka 2, wanaJF ushauri wowote tutakaotoa ujali pia maslahi ya huyu mtoto ambae anahitaji haki yake ya kulelewa, kutunzwa kusomeshwa n.k. ikiwezekana na wazazi wote. Pili huyu mdada kakosea tena sana, lakini tatizo kubwa ni ubinadamu wetu au call it madhaifu ambayo yanaweza kuja kwa kila mmoja wetu kwa njia tofauti mfano tamaa za kupenda pesa, magari, kiburi n.k. La msingi tuvumiliane ktk haya, tuzungumze tofauti zetu, tuwe tayari kuheshimiana na kurekebishana. To cut the story short....kaka mtu hana budi kumsamehe mkewe, watubu kwa Mungu, waanze maisha upya tena ya ucha Mungu!
 

...lakini at what cost?? Ndio maana mnaishia kufanyiwa mambo ya ajabu. mara mlazimishwe kulala na mbwa, mara muombwe kufanywa visivyofanywa basi ili mradi tabu tu, kisa? Range! raha ya hivyo vitu ni uvitafute mwenyewe kwa jasho lako. labda kama hayo nayo ni 'kutoka jasho'...!
 

hizi story za watu kulala na mbwa na kuliwa tigo ni stori tu zipo miaka nenda rudi...hamna mwenye uthibitisho wa hayo maneno.:embarassed2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…