...lakini at what cost?? Ndio maana mnaishia kufanyiwa mambo ya ajabu. mara mlazimishwe kulala na mbwa, mara muombwe kufanywa visivyofanywa basi ili mradi tabu tu, kisa? Range! raha ya hivyo vitu ni uvitafute mwenyewe kwa jasho lako. labda kama hayo nayo ni 'kutoka jasho'...!