Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Aisee, kama ndoa ndo ngumu kiasi hiki, hiki kikombe kiniepuke kwa kweli. Ni mara mia nitafute mdada, nimpachike mimba kwa makubariano. Siwezi, nasema tena Siwezi, Mola anisaidie. Ni kugumu japo nimechungulia dirishani tu
Ni kaka yetu japo si wa damu, na sisi ni kama wadogo zake japo kutokea mikoa tofauti tofauti. Undugu wetu umetengenezwa kikazi. 2018 kaka yetu alioa mwanamke kutoka Tarime, kitu cheupe peeee. 2019 wakapata mtoto, 2021 wakapata mwingine, 2023 mwishoni mwishoni zengwe likaanza
Inadaiwa kuwa shemu wetu alikuwa hamuelewi elewi kaka yetu, akadai upendo umepungua. Baada ya kunishirikisha mimi, nilimuuliza kuhusu matumizi, je hapati? Akasema anapata, akadai mumewe anakuwa busy sana na simu, kiufupi anachekelea simu sana. Nikajaribu kumpoza kwa kumwambia kuwa sisi wanaume tuna platform inayoitwa JF ambayo ndani yake kuna jukwaa la MMU, ambalo pia lina nyuzi za Sexual Fantasy pamoja na Kula kimasihara. Nikamwambia huenda mumeo huwa anapitia visa vya wakuu anajikuta anacheka sana na kusahau uwepo wako, nikamweleza pia, hiyo ni moja kati ya mind refreshment, kikubwa ni anafika ndani kwa wakati, anaacha matumizi, anakuweka etc
Huyu mdogo wetu mwingine akavamiwa na shemu na kuombwa walau ajaribu kupeleleza sababu ya kwanini kaka yetu amebadilika sana. Mdogo akauliza, utanilipa nini endapo nitakuletea Abc za kaka? Mwanamama kajibu nitakupatia mbususu😋. Mdogo kuuona ule mwili mweupe kahaha, ndipo kuanza kumfungukia mwanamama siri za kambi amabazo tulizifahamu mtu tatu tu. Mara Ooh, mumeo ana duka somewhere, mumeo anamchepuko kampamgishia appartment, ooh siku za alhamisi na Jumamosi mchana huwa haingii kazini, ana kazi ya kuzagamua ile mbususu iliyododa, na umbea mwingine kibao
Baada ya mke kuyafahamu yote hayo, kapandisha maluwani, kamgoja kaka arejee home, kabeba kila kilicho chake, kabwaga watoto, kala futi mia, kaka kabaki anahudumia watoto. Za chini chini tukasikia kuwa anafanya kazi bar, mara hotel, mara usafi nyumba za kulala wageni, mara kazi za ndani etc. Miezi ikasonga...
==========================
Mwezi June mwaka huu, kaka akaamua kusogeza mtoto mjengoni ili awe mama wa watoto wake aliotelekezewa kwa miezi kadhaa bila hata mawasiliano. Bila shaka mwanamama alipata taarifa kutoka kwa ile mtu ya tatu iliyotibua siri ambayo kwa sasa hatukonayo kazini, basi bhana, mwanamama kajaa sumu, anasema kwa kuwa walifunga ndoa, anataka nyumba iuzwe wagawane mali pasu kwa pasu, na kuhusu watoto hataki kujua kwa kuwa kwao alitoka akiwa mwenyewe, ila tu anataka awe anawasiliana na wanae pindi atakapoondoka. Sijui amefikiria wanae wataishi wapi baada ya nyumba kuuzwa
Mwenye roho ya ubinafsi asiyependa kuona mafanikio ya wengine. Alifurahi sana kuona mumewe anaishi maisha ya ugumu ya kununua mbususu za bei ghali huko sokoni, kaona mke mwenza kuja kuishi pale ni kama anafaidi viile. Yaani akaona mara mia wote wakose bila kuwafikiria wanawe. Kampigia simu kaka, hatujui namba katoa wapi ilihali namba ya zamani ilibadilishwa, kamwambia afanye mpango iuzwe ama afukuze mbali hiyo mwanamke, kama sivyo atamfanya kitu mbaya kwa kuwa boksa za kaka anazo
Ee Mola niepushe na vikombe vya namna hii. Mara mia nikaoe zangu Rwanda