Shemeji zangu wakurya sasa dunia imebadilika

Huku kanda pendwa hatujui kubembeleza wanawake sie.lakini cha ajabu watoto wakali kutoka kilimanjaro na Singida wanatupenda hatari.
Ila mnazidisha,mke eti unamshikia panga kisu na fimbo vyote hivyo vya nini?
 
Kwani kuna sehemu ukiristo umekataza ndoa za mitala?

Suleimani alikua na wanawake zaidi ya 700 na bado alikua rafiki yake Mungu.

Ibrahimu alikua anatafuna hadi beki tatu na mungu alikua anampenda kuliko kitu chochote.

Daudi alikua anatafuna wake za watu na bado mungu alikua anampenda sana.

Wana wa izrael walipokua wanatoka misri mungu aliwaagiza kila kijiji waue wanaume wote wajitwalie wanawake kama wake zao, mtu alikua huru kuchukua idadi ya wanawake anaowataka.

Ndoa za mitala zimwkatazwa wapi?

Usiniletee hadithi za Paulo, yale ni mawazo binafsi ya Paulo na sio maelekezo ama makatazo ya mungu.

Msiwalaumu wakurya bure.
 
Kupiga ni matokeo ya kutojiamini, ushamba, ukatili na unyama
 
Huku kanda pendwa hatujui kubembeleza wanawake sie.lakini cha ajabu watoto wakali kutoka kilimanjaro na Singida wanatupenda hatari.

Inategemea ila kuna koo zinawaambiwa mabinti zao kaeni mbali na hao wanyama.
Kuna binti wa rafiki yangu alileta kijana kutoka kanda pendwa baba ake alimwambia kaa mbali na hao wanyama. Binti anasema wanyama gani ni watu akamwambia waangalie vizuri na usitake ni kuachie laana maana utaniharibia mpk wajukuu wangu.
Binti akaogopa laana sasa hivi kaolewa na mtu wa Arusha baba ha kupiga kelele.
So bado kuna wazazi wana influence watoto kwenye mahusiano.
 
Jinsi ambavyo watu wame comment apa ni as if wakurya wote ni watu makatili sana.
Jamn haya mambo yapo ata baaz ya makabila pia yanafnya sana sema lbd wakurya ndo wanaonekana sana.
Naomba ku declare interest kwmb mm ni mkurya kabsa.
Ila haya mambo yanenda yanapungua kwa kiasi kikubwa.
Jinsi wanavoish leo kule ni tofauti kbs wanalivokua wanaishi miaka ya nyuma.
Kipnd cha nyuma niliwai kumpoteza mdogo wangu wa kike kwa kpgo tu cha mume wake. Yani mume wake alimpiga adi akafa na hamna kesi wala nn.
Lakin pia niwatoe was was kwmb sio rahs mkurya wa kijijin atatoka uko direct akaja kumuoa mtu Town. Wakurya wengi wa Town ni wastaarab sana ko ikitokea mumeelewana bas hakuna haja ya kumkataa kwa sabbya kabila lake.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] sime atembee nalo mmasai, akibeba mkurya katili.

Yule aliyemuua mkewe na kumbanika nae ni mkurya ee!!
 
We ongea na shemeji yako, ukisema wakurya kwa ujumla ina maana dada yako kaolewa na wakurya wote?
Acha kutafuta kiki kwa pikipiki
 


Siyo hadithi za Paulo bali ni Yesu mwenyewe ameagiza mke mmoja mume mmoja nao watakuwa mwili mmoja.

Hayo ya Suleiman yakiandikwa ili kuleta fundisho kwetu kuwa tusiyafate yamekatazwa agano jipya.

Mfalme Suleiman mwishoni alijutia hayo aloyafanya na kusema ni Ubatili mtupu na kujilisha upepo.

Kwa hiyo msidanganyike Neno la Mungu lipo palepale kwamba baada ya kifo ni hukumu immediately.

Apandacho mtu ndicho atakachovuna!

Badilikeni tuishi sawa na Neno la Mungu linavyoagiza.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] sime atembee nalo mmasai, akibeba mkurya katili.

Yule aliyemuua mkewe na kumbanika nae ni mkurya ee!!
Domestic violence ni tabia ya mtu, ila akifanya mwingine ni balaa.

Juzi huko Manyara, kuna watu wamekatana MASIKIO Lakini raia kama hawaoni vile.

Ila nakuhakikishia hilo tukio lingetokea Mara, linge trend balaa.

Hivyo hivyo, kwa yule jamaa wa Kigamboni aliyechoma mke wake na gunia pa mkaa sidhani kama ni mkurya.

Kitu kingine ni ukeketaji, kuna makabila kibao nchi hii yanakeketa ila mkurya akipiga tukio ni talk of the town.
 
Wadada wa kichaga wanajidai kukataa kuolewa na jamaa zao wanakwenda kuolewa na wakurya, wanayokutana nayo huko hamu hawana tena!

Yani Mwanaume anapata uhalali wa kufanya umalaya sababu hata baba yake mzazi Ndiyo aina ya maisha aloishi.

Mwanaume kuzaa nje kwa michepuko na kukuletea watoto chungu nzima ni kawaida kwao[emoji108][emoji108]

Mitala kama yote!

Mwanamke utabaki na sononi maana kila ukitafakali hupati jibu.
 
Kuna mtu alimuoa mama yake kwenye biblia,Yuda alizaa na mkwewe Tamari,mtoto mkubwa wa Yakobo alilala na mke wa baba yake lakini hata ibrahim mwenyewe alimwoa SARAH ambaye dada yake kabisa baba mmoja mama tofauti
KWA point yako ina maana na sisi tuendeleze kuwaoa mama zetu au dada zetu au tutembee na wake wa baba zetu? au baba zetu wazae na wake zetu eti kisa akina suleman sijui daudi walifanya hivyo?
HAPANA sote tubadilike
hakuna kisingizio hapa
 


Mkaruka hata takwimu rasmi zinaonesha hivyo kwamba vinara wa unyanyasaji wa kijinsia ni mkoa wa Mara wengine wakifuatia!

Yani kwenye jamii yenu mmezidi mno.
 
Kwenye uzi pale mwishoni nimeweka bayana mkuu,
 
Kweli aisee. Ni kama ushamba kubaki wa wasukuma na wanyakyusa. Kunakuwa na utetezi butu ikitokea mtendaji sio kabisa husika. Issue ya ukeketaji Mara ni ya tatu au nne nchini lakini ndio wanaonekana vinara. Fikiria ile ya kuwasugua watoto wachanga vi**mi kama njia ya kuwakeketa wangali wadogo ingekuwa ni Mara.
 
Mkaruka hata takwimu rasmi zinaonesha hivyo kwamba vinara wa unyanyasaji wa kijinsia ni mkoa wa Mara wengine wakifuatia!

Yani kwenye jamii yenu mmezidi mno.
Point za watu wasiotaka mabadiliko utazijua tu,hata ukiwawekea takwimu watapinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…