Hivi minada ya benki huwa wantangaza bei?
mkuu nadhani bank walimpa 400m so benk wanasema wanauza 400m sasa ni kazi kwa matajiri kushindana kwanzia hapo kwenda juu,,we nenda na hiyo 400m kama ujakuta m2 kaja na 700m
nawasilisha
hahahahahaha si mchezo, kweli mjini shule...
Inawezekana hakulipa mkopo
Usiume maneno.
si lazima,mkuu nadhani bank walimpa 400m so benk wanasema wanauza 400m sasa ni kazi kwa matajiri kushindana kwanzia hapo kwenda juu,,we nenda na hiyo 400m kama ujakuta m2 kaja na 700m
nawasilisha
Hivi minada ya benki huwa wantangaza bei?