Shenaz

Shenaz

Game Theory

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2006
Posts
8,546
Reaction score
855
Mie tangu Shenaz afariki basi sina hata ham ya kutazama DVD za mipasho sasa je ni mwanamke gani kachukua nafasi yake huko Ilala au Kariakoo?

View attachment 37463

attachment.php
 
Msimchokonoe dada wa watu,yaliyopita yamepita na sote safari yetu ni moja,na aliye msafi achukue jiwe ampige
 
kweli mambo huja na kupita,

nikikumbuka vimbweka vya huyu dada mpaka nachoka kabisa..........

Big up SHENAZ..................
 
Niliwahi kulishika **** lake pale kaunta ya billcanas alipokatiza mbele yangu duh nilifarijika sana **** lilikuwa mpaka na kona...kila nafsi itaonja mauti
 
Niliwahi kulishika **** lake pale kaunta ya billcanas alipokatiza mbele yangu duh nilifarijika sana **** lilikuwa mpaka na kona...kila nafsi itaonja mauti

marehemu hawasemwi vibaya.
 
Walijaliwa misambwanda hawa wadada

Ova
 
Back
Top Bottom