Shenazi Khamis Bweni Napapenda ChitChat,nipokeeni.

Shenazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
204
Reaction score
128
Yaani; hivi humu Chit Chat mnajuana au?
Maana hadi raha.
Namimi naomba nikaribie.
Naitwa Shenazi Khamis Bweni.
 
Asante manoah.
Mimi nimejiunga leo.

Natamani kukukaribisha lakini mashaka yanazidi matumaini! Kuna wenyeji waliokuja na Id mpya za kuendea White party na kuna walioona hawana viingilio nao wakaja na Id mpya! Wote wana malengo tofauti ingawa malengo yao wote ni matatizo kwetu! Kuna wanatutukana na wanaofurahia party. Bora ungejiunga baada ya party!
 
filipo mimi. Nimejiunga leo.
Naitwa shenazi khamis bweni.
Kujiunga kwenye pati,
sijakuelewa filipo kaka.
 
Shenazi jina lako ni zuri sana rafiki yangu. Usijali tumekupokea rafiki yetu mpya ila soma mchezo unavyoenda.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…