Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
Hata mimi sikutaki, wala simuhitaji mtu yoyote...
Siku hiyo mie nitakua nasupply vimwana nitakaoshuka nao kutoja Carribean, Venezuela, Puerto Rico n.k
Ndi Shenazi tutakua pamoja na mda wote usijali wala usiwe na hofu
Nicas Mtei manoah amenisaidia sana.
duh! Watu mko fasta zaidi ya google
mhhhhhh.............
duh! Haya. Ila mbona umefungua hiyo ID yenye jina la kike?Hapana mkuu white party I hope itakua njema sana, sema ndio watu wa dar wanaogopa sijui kwanini
duh! Haya. Ila mbona umefungua hiyo ID yenye jina la kike?