say what?!?!?................mh...........keep on loving your dog manoah
Nae, naona kama mpitaji tu hapa ndio maana sitaki ndoa na mtu nisije muaibisha mama yangu mpenzi gfsonwin
Yah... Thats true... Mi nabaki tu na mai dada Marry Hunbig kwisha habari... Mengine mbele kwa mbele
Donn endelea kubakia na dada wako tu Marry Hunbig ila ujue ukiwa hauna mpenzi raha sana
Mmh... Mi ninae but not JF... Japo presha presha sana... Usingle unaraha yake but siuwezi aisee... Hongera lakini kwa kuumudu...
Ukiachana ujaribu kua single utaona raha yake, na ukishazoe hutotamani kua na mupenzi Donn nakuambia
ngoja nione, nilisha kuwa single kipindi flani... Ila nahisi kama nitaenda nae mpaka ndoa hivi... Teh teh teh... But hiyo mpaka atulizane ...