Sheng Chill Spot

Sheng Chill Spot

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,350
Nijeiyaz mabangdingding, wasupere na watu nguyaz? Nimehata lingo yetu ile baddest mazee. Kwomini hizi areacode tuchapiane one two na design zetu ngori mamorio. Nimewakamia thru na hii thread juu nang'am pia nyinyi mmeihata ile mbaya huku 'diaspora'. Jiachilieni na vako zozote, vile mnaifeel mazee. Representini na sheng mbichi mbichi pia mamorio. Yaani tuchant abroad ni kaa tuko mtaa za kwetu, Kenya!
 
Last edited:
Chalii angu nimekunyaka ila nn acha jombaa zitimbe humu ndichi tuone kama kuna dini lolote au perepeche ni zilezile
So kuna mraaya za bongo pia zimeteveva na sheng kama mandogogio takeaway??? Hahaha 😀 Strong budaboss!
 
Apa ni full kipupwe arifu niungie story mob kama vipi tusogeze time
Hizi za yours zimebakisha kapyenga tu ziwe sheng ndombolo budaboss hizi huwa mnachapiana chochoro za Arusha au? 😀
 
Chalii angu nimekunyaka ila nn acha jombaa zitimbe humu ndichi tuone kama kuna dini lolote au perepeche ni zilezile
Niaje arawa Nipo Kwa fasi ni ya dwasi nadere kiaina jombaaa, mambo ni gudaaa eh
 
Ungekuom na mangeo kadhaa nadai kurombosewa kiasi alafu upatie tuusan kapyenga zimrarukie kabisa.
 
Eti unadai kurombosewa na manguna? Ngoja wadunde mtaa mzeiya. Au ufike downtown nai kuna magwara winch winch wana mawezere na mawetete za G.M.O huko. [emoji23]
 
Apa umenibeba jumla sijaambulia kitu [emoji23] [emoji23]

Itabidi tumeunda Lexicon ya sheng hapa JF tuwafunze the ever changing sheng.
Eti unadai kurombosewa na manguna? Ngoja wadunde mtaa mzeiya. Au ufike downtown nai kuna magwara winch winch wana mawezere na mawetete za G.M.O huko. [emoji23]
Eti unadai kurombosewa na manguna? Ngoja wadunde mtaa mzeiya. Au ufike downtown nai kuna magwara winch winch wana mawezere na mawetete za G.M.O huko. [emoji23]
Nadai makienyeji man alafu Niko interior sana na hawa wa huku wamebeat yao yote. Mnaharibu mbaya shamba la mawe Hii wikendi, najua ngano ndio zenu.
 
Itabidi tumeunda Lexicon ya sheng hapa JF tuwafunze the ever changing sheng.

Nadai makienyeji man alafu Niko interior sana na hawa wa huku wamebeat yao yote. Mnaharibu mbaya shamba la mawe Hii wikendi, najua ngano ndio zenu.
Haha wakenya bana mko namaneno ngumu hatar
 
Itabidi tumeunda Lexicon ya sheng hapa JF tuwafunze the ever changing sheng.

Nadai makienyeji man alafu Niko interior sana na hawa wa huku wamebeat yao yote. Mnaharibu mbaya shamba la mawe Hii wikendi, najua ngano ndio zenu.
Interior ya mawhere hiyo ina maong'ong'o? Izea jo budaboss itabidi unyandue kasamantha mtu nguyaz. [emoji38]
 
Back
Top Bottom