pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
So kuna mraaya za bongo pia zimeteveva na sheng kama mandogogio takeaway??? Hahaha 😀 Strong budaboss!Chalii angu nimekunyaka ila nn acha jombaa zitimbe humu ndichi tuone kama kuna dini lolote au perepeche ni zilezile
Apa ni full kipupwe arifu niungie story mob kama vipi tusogeze timeSo kuna mraaya za bongo pia zimeteveva na sheng kama mandogogio takeaway??? Hahaha 😀 Strong budaboss!
Hizi za yours zimebakisha kapyenga tu ziwe sheng ndombolo budaboss hizi huwa mnachapiana chochoro za Arusha au? 😀Apa ni full kipupwe arifu niungie story mob kama vipi tusogeze time
Machalii wa Arusha ndio tunagonga hizo ni full kirambasi[emoji23]Hizi za yours zimebakisha kapyenga tu ziwe sheng ndombolo budaboss hizi huwa mnachapiana chochoro za Arusha au? 😀
Hahaha! [emoji38] Hizo mamorio nai wanaziitaga sheng ndombolo ama sheng mwitu!Machalii wa Arusha ndio tunagonga hizo ni full kirambasi[emoji23]
Niaje arawa Nipo Kwa fasi ni ya dwasi nadere kiaina jombaaa, mambo ni gudaaa ehChalii angu nimekunyaka ila nn acha jombaa zitimbe humu ndichi tuone kama kuna dini lolote au perepeche ni zilezile
Mambo ni mori arawa,kidesign flan kama wahome hv[emoji4]Niaje arawa Nipo Kwa fasi ni ya dwasi nadere kiaina jombaaa, mambo ni gudaaa eh
Cheki huyu mblainer, tunachapiana sheng sio kiswahili design ya pidgin ya naija kwa lingo ya walami.Shenz type, mnaharibu kiswahili
Pita wimaShenz type, mnaharibu kiswahili
Apa umenibeba jumla sijaambulia kitu [emoji23] [emoji23]
Itabidi tumeunda Lexicon ya sheng hapa JF tuwafunze the ever changing sheng.Apa umenibeba jumla sijaambulia kitu [emoji23] [emoji23]
Eti unadai kurombosewa na manguna? Ngoja wadunde mtaa mzeiya. Au ufike downtown nai kuna magwara winch winch wana mawezere na mawetete za G.M.O huko. [emoji23]
Nadai makienyeji man alafu Niko interior sana na hawa wa huku wamebeat yao yote. Mnaharibu mbaya shamba la mawe Hii wikendi, najua ngano ndio zenu.Eti unadai kurombosewa na manguna? Ngoja wadunde mtaa mzeiya. Au ufike downtown nai kuna magwara winch winch wana mawezere na mawetete za G.M.O huko. [emoji23]
Haha wakenya bana mko namaneno ngumu hatarItabidi tumeunda Lexicon ya sheng hapa JF tuwafunze the ever changing sheng.
Nadai makienyeji man alafu Niko interior sana na hawa wa huku wamebeat yao yote. Mnaharibu mbaya shamba la mawe Hii wikendi, najua ngano ndio zenu.
Lugha ya vijana inayotuwezesha kusemezana bila wazazi kuelewa.Haha wakenya bana mko namaneno ngumu hatar
Haha apo sawaLugha ya vijana inayotuwezesha kusemezana bila wazazi kuelewa.
Interior ya mawhere hiyo ina maong'ong'o? Izea jo budaboss itabidi unyandue kasamantha mtu nguyaz. [emoji38]Itabidi tumeunda Lexicon ya sheng hapa JF tuwafunze the ever changing sheng.
Nadai makienyeji man alafu Niko interior sana na hawa wa huku wamebeat yao yote. Mnaharibu mbaya shamba la mawe Hii wikendi, najua ngano ndio zenu.