Haya sasa matusi.. Karume alipokuwa rais wa Zanzibar hukuona Umuhimu wake? Labda Waulize Wazanzibar wenyewe kwani JK akienda huko huwa kama rais wa nchi ya nje amekwenda watembelea.Ni rais ndani ya nchi yenye amiri jeshi mwingine,
Hana jeshi,
Hana nchi kwa maana ya ardhi, eneo la JMT ni pamoja na visiwa vya Zanzibar na Pemba,
Hana mamlaka kwa wananchi wake mamlaka yake ni ya kisiasa tu.
Anaongeza gharama za bure kwa watanzania.
Ni rais wa bendera.
Siyo Sheni tu Karume 1&2, Salimin na msululu wote ni kama wakuu wa mikoa tu YES I SAID ITHaya sasa matusi.. Karume alipokuwa rais wa Zanzibar hukuona Umuhimu wake? Labda Waulize Wazanzibar wenyewe kwani JK akienda huko huwa kama rais wa nchi ya nje amekwenda watembelea.
Ni rais ndani ya nchi yenye amiri jeshi mwingine,
Hana jeshi,
Hana nchi kwa maana ya ardhi, eneo la JMT ni pamoja na visiwa vya Zanzibar na Pemba,
Hana mamlaka kwa wananchi wake mamlaka yake ni ya kisiasa tu.
Anaongeza gharama za bure kwa watanzania.
Ni rais wa bendera.
Kuwa na katiba, jaji, mahakama haimaanishi ni nchi, wana ardhi?umesahau mkuu
hiyo ya ceremonial figure sio warranted.
- zanzibar ni nchi
- zanzibar ina vikosi; kmkm, jku, mafunzo
- ina katiba yake
- ina jaji mkuu wake
- ina mahakama kuu yake
- ongezea...!
Hiyo ina maana gani mwajiri wake mkuu ni Sheni si wananchi Sheni akitaka kumfukuza ni kitendo cha dakika moja, kwa maana hiyo Seif ataendelea kuwa mtiifu kwa sheni na si kwa waliomchagua. Zote hizo ni geresha za wanasiasa hawana maana yeyote.Jamani mimi Civics nilipata C.
Endeleeni na jamvi lenu.
Eti Maalim Seif kaapishwa na shein badala ya Jaji? Kweli njaa haina adabu.