Sherehe ya kuchumbiwa Wolper yazua gumzo

Sherehe ya kuchumbiwa Wolper yazua gumzo

Midekoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
45,757
Reaction score
246,786
Sherehe ya kuchumbiwa kwa Staa wa sinema za Kibongo na Malkia wa Mavazi, Jacqueline Wolper imezua gumzo la aina yake baada ya muoaji kufanya kufuru ya aina yake. Sherehe hiyo iliyohusisha msafara mkubwa wa magari kutoka jijini Dar, ilifanyika Moshi, wikiendi iliyopita nyumbani kwa bibi yake kijijini Moshi.

Bdh0ZnoDTDZ.jpg
 
Oya huyo ni nani anaye mchumbia jamn......ingawa sura sio ngeni
 
Back
Top Bottom