Sherehe ya kuchumbiwa Wolper yazua gumzo

Mungu amsaidie, uchumba huu upelekee ndoa. Sio aachwe tena na kashfa juu.
 
Vyeti vya ndoa vingi kuliko vya shule
 
Sie dini yetu inakazia kutangaza Ndoa na sio uchumba maana binaadam mashaka,ndio maana hawa mastaa hawafikagi mbali kwa kujianika kwao.
Kabisa uchumba unaweza ota mbawa
 
Ujinga ni kuanza kuvalishana nguo sare sare.

Huyo jamaa yaani ni 27418th selection na hana noma
 

mbona jamaa kichwa km cha Joti?
au ni mihela dada yetu kakimbilia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…