Sherehe ya miaka 30 ya CWT ni utata mtupu!. Je, ni kweli Rais Samia atahudhuria huku Maganga akihutubia?

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
1,761
Reaction score
2,391
Nahisi kama Mungu ameingilia kati ili kuwanusuru walimu na hii dhahama.

Uku taarifa zisizoaminika mama ndio mgeni rasmi.


Taarifa zingine CCM mwanza imewanyima uwanja.


Huku sisi mtaani tukilalamika cwt wanavyotupiga 2% bila kazi ya msingi.
 

Attachments

  • VID-20231212-WA0020.mp4
    16.5 MB
Chama cha wezi tz Vs Chama cha mambuzi....
Tifuaneni mkiweza muuane kabisa.....Ila nawaapia hakuna Kati yenu atayeiona 2099.......kila kitu ni ubatili mmmmbw* nyie.
 
Nitashangaaa sana kama Kuna walimu watahudhuria hiyo sherehe. Nitawaona hamnazo kabisa. Yani mtu akuibie pesa zako halafu uende uwanjani kushangilia kuibiwa pesa, hiyo ni akili kweli?
 
Si wamewanyima uwanja.subirini 2025 au mtakuwa mmeshasahau??? Mm nitawakumbusha!!!!
 
Kuna mabango makubwa yenye picha ya "Mama" akihusishwa na walimu kumbe ni hili tukio?

Waende hata Furahisha pale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…