Sherehe za CCM Kutimiza Miaka 33 Zafana - Reading, Uingereza

Kaka kuna makundi mengi ya watanzania ugenini yanayokuja kwa sababu tofauti. Idadi ya watanzania waliopo UK kwa kweli ni wengi mno, wengine hata shughuli na habari na utanzania hawana kabisa kwa sababu zao wazijuao wao za maisha yao.

Mwi mwenywe nilikua nam-google former best wangu ndio nikafuma hii forum alikuwa na post humu jinga yule kutumia jina lake.

Back to the point ni kwamba sisemi watu wasirudi, hila inabidi watu waje kwa madhumuni ya kujenga taifa. Na mimi in person siwajui wengi walioingia hii miaka ya karibuni hila najua kuna wengi ambao hata wamenizidi kielimu ni kwamba sasa wana tough decision waache mishahara yao ambayo ni guaranteed mpaka atakapofika retirement age au aje gamble na nyumbani.

Hawa ni watu ambao shughuli za kisiasa kwao ata kuzitaka hawataki, bali siasa mbovu zina wafanya wafikirie mara mbili kurudi hiwe kibiashara ushuru wa ajabu port na ndani, hiwe uandishi limitations zilizopo, hiwe other social sectors such as NGO's aje akerwe na ushenzi mumnyanyase, in short ni watu ambao wanafikiria namna ya kulisaidia taifa kwa mchango mwingine hila bureucracy ndio inayowatisha na mimi naweza nikajiweka kwenye kundi hili.

na nikifikiria what i can achieve kama nikikakama hapa nilipo naona its only worth kujenga kibanda changu cha kuja kulala ninapokuja kulikoni kuingia kwenye mchezo wa tamaa na ubabe.
 

Mkuu Juma,

Nyumbani ni Nyumbani tu, mfano hapa UK hata kama ukifanikiwa kuishi kwa kadri ndoto na jitihada zako zinavyokuruhusu. Kama Moyo wako uko Nyumbani, hapa utapaona hapafai.

Kunaweza kuwapo na sababu nyingi sana za kutushawishi tusirudi nyumbani lakini ukweli ni kwamba kama Moyo wa mtu kweli unapenda kuru nyumbani basi atarudi tu.
 

Muungwana hapo ndipo unaponifurahisha wewe na jamaa zako wa UK. wewe utakaaje ughaibuni ukane kwenu halafu baadae udai unapatamani? hizi ni kauli tata sana kwani unawezaje kukaa nchi ya watu halafu ukawa unapatamani kwenu (Kuna mtu amekuzuia kwenda au kutafuta maisha?).

Binafsi mie naona hizi ni kauli za watu waliokuwa wabinafsi ambao hudai wanatamani kurudi nyumbani but kila siku unawaona wanahangaika ulaya. Wanafanya hivyo ili wapate sympathy kwa wadanganyika ili waje na hoja ya uraia wa nchi mbili na wao waonekane wazalendo. Hata siku moja siamani kama mtu unakupenda kwenu ushindwe kwenda hakuna mtu anakuzuia (waswahili wanasema mtu kwao......). Hivyo basi either wewe ukae nje na sie tukae zetu na bongo yetu au uwe nasi hamna zaidi
 
Sir you know the score raha hapa amna kama nyumbani, na maneno yako yanaelezea mioyo ya wengi. Hila siasa za nyumbani zina katisha tamaa plan zingine za kimaisha zinakua utata.

Vingenevyo long time wengi tungesha fungasha wenye elimu na wasio nazo amna anaekupenda hivyo hapa bali ukweli wa maisha na ndoto zetu watu ndio zina tuweka.
 
Hii ni topic ya Siasa mimi binafsi nilifikaje hapa inakuhusu wewe.

Ina maana kwa sababu tu, tumetofautiana kwenye hii hoja ndio unataka kunijua??!!

Ufisadi tu hakuna jipya hapa....
 


Post hii hapa sio mahali pake iende kwenye Jamiiphoto na sio J. siasa
 


Hi post hapa sio mahali pake iamishiwe kwenye JPhoto
 


Post hii inabidi iamishiwe JamiiPhoto sio hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…