Sherehe za kichawi huondoka na roho ya mtu

Mkuu na yale mambo yaliyowapata Walimu kule Pwani vipi Mh,Ndalichako kawapa likizo wakapumzike kisaikolojia wakae sawa maana wanapigwa bakora usiku ,mara wanachanjwa mwili mzima ,mara wanalazwa nje ya nyumba zao ,Mwl Mkuu kakubali yeye yamemkuta mengi ikiwa ni pamoja na kuzungukwa na Nyoka wengi kulazwa nje kupigwa bakora lakini ilikuwa siri yake walimu wasije kimbia kituo cha kazi huwezi kwenda kuwasaidia maana hali ni mbaya huko.
 
Nimestaafu ndugu yangu Mkendo lakini wale wanaobisha kuwa hakuna uchawi mpaka povu linawatoka wakawatafute hao walimu wayasikie direct toka kwa wahanga wenyewe
 
Kaka mshana jr mie naomba uniambie kipindi flan nikiwa mdogo niliwahi kuzimishwa katika mazingira ya kutatanisha kwa muda wa masaa kama manner hivi akaja Mzee ndio akaniokoa maana nilizirai na yule Mzee aliniokoa maana ilikuwa anapita tu na yeye ni mganga kwa pale kijijini akadai ile sawa ilitoka kwake kimakosa na hakujua sasa toka hapo nimekuwa nikilala usiku akija mchawi lazima niamke na sometimes huwa mpk nawaona ila siwaoni sura vizuri ila naweza kujua kama huyu ni mwanamke au mwanaume na kipindi nikiwa mdogo walishawahi kuja wataalamu kutengeneza mazindiko ila wrote kila wakitaka kunichanja chale walichemka kwa hiyo wakawa wananiacha tu mambo kama haya yanakuwa hawa nini?
 
Ulifanyiwa zindiko na ndio hilo linalokubeba mpaka leo
Sijajua imani yako ya sasa lakini kuna siku vitakinzana
 
Mshana Jr....nikuite Doctor wa mambo haya...sasa nina tatizo na bosi uchwara hapa ofisini kwangu huwezi kunisaidia mbinu yoyote nimtulize kindumba?maana akili yangu imegota kumvunja miguu kwa gari asije ofisini lkn naogopa kuuwa dini yangu hairuhusu....Nipe zile kali akija ofisini tu aone bahari....awe kipofu akirudi kwake mzima...n.k..please help!
 
Ulifanyiwa zindiko na ndio hilo linalokubeba mpaka leo
Sijajua imani yako ya sasa lakini kuna siku vitakinzana
Sijakuelwa hasa kwenye kusema nilifanyiwa zindiko wakati kiukweli sijawahi kufanyiwa na kwa sasa mie ni mkristo vitakinzana vipi hapo?
 
Duh wewe noma
 
Simama na Mungu wako damu yake isije ikakurudia ukimkaribisha na kumsikiliza shetani
Mshtakie kwa Mungu wako kwa imani yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…