Kayenga jr
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 443
- 349
Asante sana kaka ila kuna kipindi napataga tabu sana hawa usiku jamaa wanakuja speed balaa yaani wakitua nje lazima nijue na kuna muda naweza kubadirisha njia bila kujijua au kuahirisha kabisa safari ila mateso ya usiku ndio huwa makubwa sana vitu kama kwenda kuoga baharini ndio huwa sitaki kabisa na hata mzuka huwa sina kabisaSiku ulipozimishwa halafu yule mzee akaja kukuzindua mambo yote Yalianzia hapo
Tumia chumvi na ndimu kuzunguka kitanda na kwenye pembe za chumbaniAsante sana kaka ila kuna kipindi napataga tabu sana hawa usiku jamaa wanakuja speed balaa yaani wakitua nje lazima nijue na kuna muda naweza kubadirisha njia bila kujijua au kuahirisha kabisa safari ila mateso ya usiku ndio huwa makubwa sana vitu kama kwenda kuoga baharini ndio huwa sitaki kabisa na hata mzuka huwa sina kabisa
Dunia hadaaa.mwachie Mungu tuMshana Jr....nikuite Doctor wa mambo haya...sasa nina tatizo na bosi uchwara hapa ofisini kwangu huwezi kunisaidia mbinu yoyote nimtulize kindumba?maana akili yangu imegota kumvunja miguu kwa gari asije ofisini lkn naogopa kuuwa dini yangu hairuhusu....Nipe zile kali akija ofisini tu aone bahari....awe kipofu akirudi kwake mzima...n.k..please help!
Naomba maelekezo please namna ya kufanyaTumia chumvi na ndimu kuzunguka kitanda na kwenye pembe za chumbani
Teh teh teh, wapenzi haoHahaaaa we noma kwa uchokozi@bushland
Dada umeipta hii, njoo cheki kwanza, hukosi nenoUnamwaga chumvi kiasi kuzunguka kitanda vipande vya ndimu unaweka michagoni
Naona chupa za Johnny walker, Amarula, Jack Daniels na Glenmorangie nadhani huyo mchawi ni mtu wa tungi sana[emoji38]Halafu utajiri wa mchawi ni haya madude mahirizi mashanga ya ajabu ajabu makombeo tunguli na madawView attachment 334970View attachment 334971View attachment 334972
Haya madude na idadi ya nyama na damu ulivyotoa kafara ndio hukupa nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa kishirikina
Ngoja jichawi aje aseme neno
Haya mambo hufanyika kimazingara kuyaelezea hapa ni ngumu sana sitawezaMshana jr. mi naamini uchawi upo ila kitu kinachonisumbuaga sana akili ni je mtu anayechukuliwa msukule mfano kuna uchawi ambao sijui kama siku hizi bado upo.unamuomba maji ya kunywa mbibi kizee anakwambia pita tu uchukue hapo nyuma ya mlango ukisha ingia tu tayari hutoki tena we ndo mwisho wako.sasa swali misukule hua hawajielewi au inakuwa kuwaje wanashindwa kurudi kwao? ha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyie wawili nawapendaga Sana, naomba Tu kila siku mrudiane jaman, inaonekana bado mnapendana Sana, uwwiiiiiiiie uchungu mimi
Huu sio uchawi???Tumia chumvi na ndimu kuzunguka kitanda na kwenye pembe za chumbani
dah poa mshana jr.ila bado question mark imeniganda.ila we ni noma aiseeHaya mambo hufanyika kimazingara kuyaelezea hapa ni ngumu sana sitaweza
Mkristo anaruhusiwa kutumia???Hapana huu si uchawi bali ni kinga dhidi ya uchawi,ushirikina na wanga
Huo ushauri unamfaa mtu asiye na uzima wa Yesu Kristo ndani yake. Jina na damu ya Yesu Kristo ni ngome yangu tosha. Huwa nafanya hivi: Kati ya saa 7 hadi saa 8 na nusu usiku napiga maombi kwa nusu saa tu, kwa jina la Yesu napiga ngome na silaha za wachawi dhidi yangu na familia yangu. Ninakaa salama kwa njia hiyo ndugu Mshana jr!Kumuwinda mchawi ili ummalize unahitaji na wewe kuwa mchawi la sivyo atakuondoa wewe kabla hujamfikia
BekaNurdin uko sahihi mno lakini kuna wale ambao si waamini kwahiyo wana alternative yaoHuo ushauri unamfaa mtu asiye na uzima wa Yesu Kristo ndani yake. Jina na damu ya Yesu Kristo ni ngome yangu tosha. Huwa nafanya hivi: Kati ya saa 7 hadi saa 8 na nusu usiku napiga maombi kwa nusu saa tu, kwa jina la Yesu napiga ngome na silaha za wachawi dhidi yangu na familia yangu. Ninakaa salama kwa njia hiyo ndugu Mshana jr!
faida hasa ya uchawi ni nini?maana naona karibu ya 95% ya wachawi na masikini wa kutupwa wengine hata vitanda vya kulalia hawana halafu umeonesha hapo juu utajiri wao ni vinyangara tu au wenzetu wao hawa hustle!Niulize tuu nitajitahidi kukujibu kadiri ya ufahamu wangu