Sherehe za kichawi huondoka na roho ya mtu

Hapana nataka nikaone tu zile sera zao na vitendo vao tu kiongozi alafu nakimbia na narudi kwa mungu
 
Lakini tayari wachawi wengi nitakua nishawajua na pia kama mtaani kwangu watakuepo basi watakua wananiogopa
 
Kwa uchawi wa mazingaombwe ni sawa huu wa juu kwa ju , lakini ule halisi ni ngumu sana na hao wachawi utakaowaona hawatakuacha hivi hivi itabidi wa test nguvu yako na hapo ndio penye shida kuu
 
Mkuu mshana jr, jaribu kutafuta vitabu hivi(kanjul arshi na sihiril quhaan) ni vya lugha ya kiarabu sijui kama vipo vya chapa za kingereza. Utajua mengi kuhisiana na uganga/uchawi wa kutumia majini na mengne mengi tu!!
 
OK poa tafanya hivyo napenda kupanua ufahamu
 
@jichawi umepotea mazima? Leo katika pita pita zangu nimekutana na haya makaburi ya zamani
 
Natamani nipate post zako zote zinazohusiana na hayo mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…