Sherehe za Kufunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024

Sherehe za Kufunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuyafunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024 yanayofanyika viwanja vya Sabasaba, Temeke, jijini Dar es Salaam.

Maonesho hayo ya Sabasaba yalifunguliwa tarehe: 03 Julai 2024 na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi ambaye aliambatana na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

IMG-20240712-WA0065.jpg
 
Back
Top Bottom