Sherehe za Mapinduzi uwanja wa Amani Zanzibar Rais Magufuli na Dr Shein kuhudhuria

Kinacho chukiza wengi kwenye hayo maadhimisho, ni protokali ya kiboya ya Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu ambaye huwa ni Raisi wa Jamuhuri ya Muungano kuingia wakwanza then ndo anafuata raisi wa SMZ.

Na wakati wakutoka eti raisi wa SMZ ndo anaanza kisha Mkuu wa Nchi yote na Amiri Jeshi Mkuu Raisi wa Jamuhuri ya Muungano ndo anafuata - huku ni kudhalilishana
 

Maalim Seif nayeye asije akafanya ule ujinga waliofanya viongozi wa cdm kwenda kuomba maridhiano.
 
Hao unaowaona ni wengi mno! Maana Zanzibar ina watu wachache sana. Ingekuwa India, China, Pakistani hao wangekuwa kama milioni kadhaa.
kwani kuna population ya watu wangapi,mi naona viti viko empty
 
Ni siku damu ya wazanzibar ilimwagwa bila ya hatia na mavamizi kutokea nchi ya tanganyika.

Sent using tecno tochi
 
BORA UMEME UNGEKATIKA WATANZANIA WASIONE HIYO ITAFIKI YA KIBOYA INAYO MDOGOSHA 'downgrade' RAISI WA NCHI & AMIRI JESHI MKUU
 
Haya ndio mapinduzi mliyoyataka ?
 


KUSHEREHEKEA UVAMIZI NA MAUWAJI YA KIMBARI ???😳😳
 
Leo ndio Leo machatos mtatuambia hizo sherehe zinaongozwa na she in au jiwe maana ninavyomjua boss wenu kupenda kila kitu kuongoza sijui Leo atafanya nini ! Jana aliona kuzindua hotel akaamua kuzindua na vijanjaweed na kuvichangia tzs 150m
ni sherehe hii tu Magufuli huwa sio mgeni rasmi
dah sijui huwa anajisikiaje aisee
 
Itifaki ya kipuuzi kabisa, hiyo ni dharau kwa Raisi wa Muungano ambaye ndiye Mkuu wa Nchi & Amiri Jeshi Mkuu na...na watanzania wana note ipo siku tu!

Mkubwa apewe hadhi yake muda wote na kila mahali
acha tu nao leo ni siku yao ya kujimwambafy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…