Sherehe za mwezi uliojaa damu, nitazianza 09 Agosti to 10 Novemba 2021. Anguko la masalia wa adui zangu

Jokajeusi

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2018
Posts
6,323
Reaction score
10,813
Kwema Wakuu!!

Masalia wa adui zangu mjiandae. Katika sherehe za Mwezi wa Damu, ambazo zitaanza 09August na kuisha 10November.

Sherehe zitavurumushwa Kwa miezi mitatu mfululizo.

Masalia wa adui zangu mjiandae, code zenu zipo tayari, mafaili yenu yapo juu ya meza hapa.

Sare zitakuwa mavazi mekundu, kofia nyeusi zenye mkanda mwekundu. Viatu vyeusi.

Matukio yatagusa miji minne. Dar es salaam, Dodoma, Mwanza, Zanzibar.

Adui zangu mkitoka hapa, nitawapumzisha Kwa miaka mitatu bila kupambana na ninyi.

Nyote mnakaribishwa

Hata Jiwe alitutisha hivyo...chukua tahadhari[emoji16]
 
Naona kama mimi siyo kilaza basi uzi utakuwa haunihusu
 
Nawaalika katika maandalizi ya sherehe zangu zitakazoanza wiki mbili zijazo.
 
Akili unazo?!

Unachokitafuta utakipata..wewe tumia nguvu ..wenzio wanakusubbiri na nyavu..
 
Mimi na wewe tutajua Nani anasubiriwa na nyavu.

Stay tuned,
Jiandae vyakutosha, usijesema sikukuambia
 
Back
Top Bottom