HahahaaNawe unataka ushindi utakusaidia nini
[emoji1] [emoji1] [emoji1] usijali mkuu. Pamoja sana.Hahahaa
Sawa mkuuu
Ft: ndanda 2 yanga 2
Draw ina ubaya gani?matokeo halali/hapa hawakununua ... yanaonyesha uwezo halisi wa yanga
Yes ni matokeo halali kwa timu ambayo imekuwa ikicheza match kila baada ya siku mbili tena mfululizo kwa muda wa wiki 3.matokeo halali/hapa hawakununua ... yanaonyesha uwezo halisi wa yanga
Ingekuwa wamatopeni ndio wamepangiwa ratiba ya Kucheza match kila baada ya siku 2 for 3 weeks, wangelalamika kuwa TFF inawahujumu! Na wangepigwa nyingi tu!Draw ina ubaya gani?
Fanyeni kazi ya kumng'oa Aveva muache majungu!matokeo halali/hapa hawakununua ... yanaonyesha uwezo halisi wa yanga