Sherehe za uhuru 2019 kitaifa kufanyika jijini Mwanza

Sherehe za uhuru 2019 kitaifa kufanyika jijini Mwanza

mhuri25

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2016
Posts
2,780
Reaction score
3,733
Wakuu habari za wakati huu, kuna taarifa za chinichini japo hazijawa rasmi kuwa SHEREHE ZA UHURU mwaka huu kufanyika kitaifa jijini MWANZA, kiukweli nimeridhishwa na maamuzi haya kuleta sherehe hizi mikoani.

Rai yangu kwa SERIKALI isiishie Mwanza tu mwakani waangalie hata KIGOMA huko angalau kila mkoa upate hiyo fursa adimu na sio iwe DAR na DODOMA tu kama inavyofanyika sasa.
 
Wakuu habari za wakati huu, kuna taarifa za chinichini japo hazijawa rasmi kuwa SHEREHE ZA UHURU mwaka huu kufanyika kitaifa jijini MWANZA, kiukweli nimeridhishwa na maamuzi haya kuleta sherehe hizi mikoani. Rai yangu kwa SERIKALI isiishie Mwanza tu mwakani waangalie hata KIGOMA huko angalau kila mkoa upate hiyo fursa adimu na sio iwe DAR na DODOMA tu kama inavyofanyika sasa.
Tusubiri tamko rasmi la serikali.
 
Sherehe hizi kwa sasa zitakuwa zinafanyika kikanda.
Kwa kuanzia Mwaka huu kanda ya ziwa imepewa ridhaa ya maadhimisho hivyo kuuteua mkoa wa mwanza kuwa ndio sehemu ya maadhimisho hayo.
 
Kamusemo ka kubana matumiz kameishia wapi au ndo hivo upepo wa kisursur umeishakapitia
 
Sherehe hizi kwa sasa zitakuwa zinafanyika kikanda.
Kwa kuanzia Mwaka huu kanda ya ziwa imepewa ridhaa ya maadhimisho hivyo kuuteua mkoa wa mwanza kuwa ndio sehemu ya maadhimisho hayo.
Shukrani sana kwa maelezo yako Mkuu!!!
 
I refuse to be naive, this is 2020 campaign 101!
 
Back
Top Bottom