Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie natamani zingeenda Mkoa wa SongweHureee!
Ni habari za chini ya kapeti
Kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru, sherehe kufanyikia Mwanza
Yeah ni mwanza...confirmed
Ndiyo tutasema, tangu lini Sherehe za Uhuru zikaadhimishwa nje ya Makao Makuu ya nchi? Hili jitu ni libaguzi, tribalist etc...sasa Ile hoja ya kujidai anafuta sherehe Ili ajenge barabara imekufa?Hureee!
Ni habari za chini ya kapeti
Kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru, sherehe kufanyikia Mwanza