chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Nov 30, 2019 #1 Hureee! Ni habari za chini ya kapeti Kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru, sherehe kufanyikia Mwanza
Hureee! Ni habari za chini ya kapeti Kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru, sherehe kufanyikia Mwanza
kalipeni JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 1,571 Reaction score 1,328 Nov 30, 2019 #2 Kama 9-12-1961 bendera ilipandishwa kirumba no doubt.
K Kishalu JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,173 Reaction score 711 Nov 30, 2019 #3 Yote kheri maana si lazima iwe Dar lakini kama haingiliii taratibu na sheria zetu ingefanyika Makao makuu ya nchi Dodoma ingependeza zaidi
Yote kheri maana si lazima iwe Dar lakini kama haingiliii taratibu na sheria zetu ingefanyika Makao makuu ya nchi Dodoma ingependeza zaidi
Messier 31 JF-Expert Member Joined Feb 1, 2017 Posts 459 Reaction score 1,117 Nov 30, 2019 #4 hata ingefanyikia Chato sawa tu.
mpimamstaafu JF-Expert Member Joined Jul 18, 2018 Posts 4,445 Reaction score 4,707 Nov 30, 2019 #5 chinembe said: Hureee! Ni habari za chini ya kapeti Kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru, sherehe kufanyikia Mwanza Click to expand... Mie natamani zingeenda Mkoa wa Songwe
chinembe said: Hureee! Ni habari za chini ya kapeti Kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru, sherehe kufanyikia Mwanza Click to expand... Mie natamani zingeenda Mkoa wa Songwe
in ha JF-Expert Member Joined Oct 20, 2017 Posts 1,726 Reaction score 3,888 Nov 30, 2019 #6 Yeah ni mwanza...confirmed
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,039 Reaction score 7,465 Nov 30, 2019 #7 in ha said: Yeah ni mwanza...confirmed Click to expand... Hata maadhimosho ua siku ya UKIMWI duniani, kwa Tz inafanyika Mwanza kesho 1/12/2019.
in ha said: Yeah ni mwanza...confirmed Click to expand... Hata maadhimosho ua siku ya UKIMWI duniani, kwa Tz inafanyika Mwanza kesho 1/12/2019.
Mackanackyyy JF-Expert Member Joined Mar 26, 2019 Posts 2,338 Reaction score 5,271 Nov 30, 2019 #8 chinembe said: Hureee! Ni habari za chini ya kapeti Kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru, sherehe kufanyikia Mwanza Click to expand... Ndiyo tutasema, tangu lini Sherehe za Uhuru zikaadhimishwa nje ya Makao Makuu ya nchi? Hili jitu ni libaguzi, tribalist etc...sasa Ile hoja ya kujidai anafuta sherehe Ili ajenge barabara imekufa?
chinembe said: Hureee! Ni habari za chini ya kapeti Kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru, sherehe kufanyikia Mwanza Click to expand... Ndiyo tutasema, tangu lini Sherehe za Uhuru zikaadhimishwa nje ya Makao Makuu ya nchi? Hili jitu ni libaguzi, tribalist etc...sasa Ile hoja ya kujidai anafuta sherehe Ili ajenge barabara imekufa?
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Nov 30, 2019 Thread starter #9 mpimamstaafu said: Mie natamani zingeenda Mkoa wa Songwe Click to expand... Kwani Laisi ni wa kwenu?