Sherehe za Uhuru hazipaswi Kufutwa. siku ya Uhuru ndio msingi Mkuu wa Taifa

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
SHEREHE ZA UHURU HAZIPASWI KUFUTWA. SIKU YA UHURU NDIO MSINGI MKUU WA TAIFA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Ni makosa makubwa na yakimkakati kufuta SHEREHE za Uhuru.

Viongozi lazima waelewe siku ya Uhuru ni siku kubwa kuliko sikukuu yoyote Ile ndani ya taifa. Ni afadhali zifutwe SHEREHE za siku nyingine lakini siku ya Uhuru ibaki kama ilivyo. Kwa sababu siku hiyo ndio msingi wa taifa kuwapo.

Serikali inapaswa iratibu programu mbalimbali za kufanya siku ya Uhuru ifaane. Watu wafurahie, wajifunze na kuwaweka watu pamoja.

Mashirika na taasisi mbalimbali za kiserikali, vyombo vya habari, taasisi binafsi zinapaswa katika siku hiyo ziandae programu zenye mashiko kuonyesha umuhimu wa siku ya Uhuru katika maendeleo ya nchi yetu na taasisi husika.

Mfano, taasisi za Dini.
Zinapaswa katika siku hiyo ziandae waumini wake kwenda Kanisani au kufanya maonyesho au kuandamana kwa Amani wakionyesha programu mbalimbali za kufurahia Uhuru wa taifa na faida zake katika Dini.

Sherehe za Uhuru wa taifa hazipaswi kuwa tuu SHEREHE za serikali. Ni wajibu wa viongozi kuunda mkakati na mipango ya kuifanya SHEREHE ya Uhuru kugusa maisha ya kila mtu Mpaka watoto.

Kiasi kwamba hata mtoto mdogo ikifika siku hiyo aone na aguswe.

Siku ya Uhuru isihesabike kama siku ya mapumziko Bali iwe siku ya SHEREHE. Na indaliwe vilivyo. Ipromotiwe vilivyo. Watu wapike chakula kama zilivyo sikukuu nyingine. Watu wavae nguo nzuri haswa.

Viongozi wa nchi hasa wabunge siku hiyo wanaweza kuitumia kuwa karibu n wananchi wao huko Majimboni wakila, kunywa na kufurahia.

Wasanii waandae kila mwaka nyimbo za kizalendo, matamasha ya usiku ya kuburudika kufurahia siku ya Uhuru. Mkesha wa kuisubiri siku ya Uhuru. Sio watu wazubae zubae hata kwa vitu Vidogo kama hivyo.

Lazima sababu za kutokuwa huru zisemwe. Lazima tahadhari za kupokwa Uhuru wetu kama hatutakuwa makini zitajwe.

Serikali imefanya makosa kuifanya siku ya Uhuru kuwa ya Kisiasa wakati Uhuru unamhusu watu wote hata wasiokuwa wanasiasa au Watumishi.

Makosa hayo yameleta matokeo hasi hata hihi Leo kwa Sababu gharama za kuendesha sherehe za Uhuru zinakuwa kubwa kwa sababu serikali ndio inabeba msalaba pekee yake.

Kama ingekuwa ni sikukuu ya wananchi kila mwananchi angehangaika kwa uwezo wake kuhakikisha anafurahia sikukuu ya Uhuru wa taifa lake.

Mbona sikukuu za kibinafsi zinafanikiwa, mfano maulidi ya Waislam au sikukuu ya Iddi, au sikukuu ya Christmas au pasaka. Na watu wanahakikisha inafanikiwa. Kwa sababu watu wanachukulia sikukuu hizo personal.

Lazima serikali itafute watu ambao wataandaa mipango na mikakati ya kuifanya sikukuu ya Uhuru iwe ya wananchi.

Timu za Simba na Yanga zitumike kuibusti SHEREHE za Uhuru. Vyama vya siasa vinaweza kuandaa namna ya kusherekea Uhuru na kuifanya iwe na Tija

Sio siku ya Uhuru watu wakae nyumbani kama wikiendi. Hayo ni matumizi Mabaya ya siku kubwa kama hiyo.

Mashule na taasisi zinazokusanya Makundi ya watu wengi waitumie siku hiyo kufanya SHEREHE, kuburudika au kuandaa programu matata .

Mfano; kwa upande wa Shule; Wiki Lile la kuelekea Sikukuu ya Uhuru. Waalimu wataandaa SHEREHE yenye programu fupi isiyozidi nusu siku. Yaani labda kutoka asubuhi Mpaka saa sita mchana. Watu wanakula kisha wanaenda kufurahia.

Watoto wa Shule asubuhi wanaenda shule wakiwa wameambiwa wavae labda tisheti nyeupe zenye maandishi ya Uhuru na umoja na miaka ya Uhuru.
Watoto wasanii wataandaa programu, wazazi wanaalikwa. Mnaandaa mazingira ya watu kuja kwa kupenda, iteni wasanii WA kijiji, wilaya, mkoa, au taifa kulingana na uwezo wa kijiji husika, na shule husika. Fanyeni SHEREHE na muitishe Harambee ya kuboresha shule kwa mapenzi ya wananchi. Sio muwe wajingawajinga.

Fanyeni kama Wakristo wanavyofanya shughuli zao.

Sherehe hizi tangu mwaka unaanza Wakuu wa vitengo, taasisi, wenyeviti wa vijiji lazima wawe wamejiandaa kufanya wananchi wapate hamu na hamasa ya siku hiyo.

Mwezi Mmoja kabla vyombo vya habari vikubwa kama kawaida vitaendeleza majukumu yake ya kuamsha uchu na uroda WA sikukuu ya Uhuru.

Vikundi vya wasanii wa jadi, vikundi vya wakulima, vikundi vya wafugaji, bodaboda na vikundi vingine viwe kwenye mpango na viwe na viongozi wanaojua kuratibu matukio ya SHEREHE.

Wafungwa huko jela nao waandae programu Zao za kuwafurahisha na kuwakumbusha kuwa wao ni wafungwa katika nchi Huru. Nchi Huru inayozingatia HAKI za watu na Uhuru wao.

Kwenye sikukuu za Uhuru kuna pesa nyingi zingekusanywa na miradi Mingi kujengwa kwa pesa za wananchi na watu wanaojitolea kama Sadaka kwa nchi Yao.

Mbona Kanisani wanatoa hizo pesa kwa wachungaji wao na makanisa yao.

Viongozi wa nchi mnashindwaje na wachungaji kugusa mioyo ya watu wajitolee na kufurahia siku ya Uhuru kwa maendeleo yao wenyewe.

Mimi acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Unaweza kuelezea huo Uhuru ni wa kiuchumi au Kisiasa?

Niko hapa Citizen TV nafuatilia Gwaride la Jamhuri Day - Kenya
 
SHEREHE ZA UHURU HAZIPASWI KUFUTWA. SIKU YA UHURU NDIO MSINGI MKUU WA TAIFA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli

Ni makosa makubwa na yakimkakati kufuta SHEREHE za Uhuru.

Viongozi lazima waelewe siku ya Uhuru ni siku kubwa kuliko sikukuu yoyote Ile ndani ya taifa. Ni afadhali zifutwe SHEREHE za siku nyingine lakini siku ya Uhuru ibaki kama ilivyo. Kwa sababu siku hiyo ndio msingi wa taifa kuwapo.

Serikali inapaswa iratibu programu mbalimbali za kufanya siku ya Uhuru ifaane. Watu wafurahie, wajifunze na kuwaweka watu pamoja.

Mashirika na taasisi mbalimbali za kiserikali, vyombo vya habari, taasisi binafsi zinapaswa katika siku hiyo ziandae programu zenye mashiko kuonyesha umuhimu wa siku ya Uhuru katika maendeleo ya nchi yetu na taasisi husika.

Mfano, taasisi za Dini.
Zinapaswa katika siku hiyo ziandae waumini wake kwenda Kanisani au kufanya maonyesho au kuandamana kwa Amani wakionyesha programu mbalimbali za kufurahia Uhuru wa taifa na faida zake katika Dini.

Sherehe za Uhuru wa taifa hazipaswi kuwa tuu SHEREHE za serikali.
Ni wajibu wa viongozi kuunda mkakati na mipango ya kuifanya SHEREHE ya Uhuru kugusa maisha ya kila mtu Mpaka watoto.

Kiasi kwamba hata mtoto mdogo ikifika siku hiyo aone na aguswe.

Siku ya Uhuru isihesabike kama siku ya mapumziko Bali iwe siku ya SHEREHE. Na indaliwe vilivyo. Ipromotiwe vilivyo.
Watu wapike chakula kama zilivyo sikukuu nyingine.
Watu wavae nguo nzuri haswa.

Viongozi wa nchi hasa wabunge siku hiyo wanaweza kuitumia kuwa karibu n wananchi wao huko Majimboni wakila, kunywa na kufurahia.

Wasanii waandae kila mwaka nyimbo za kizalendo, matamasha ya usiku ya kuburudika kufurahia siku ya Uhuru. Mkesha wa kuisubiri siku ya Uhuru.
Sio watu wazubae zubae hata kwa vitu Vidogo kama hivyo.

Lazima sababu za kutokuwa huru zisemwe.
Lazima tahadhari za kupokwa Uhuru wetu kama hatutakuwa makini zitajwe.

Serikali imefanya makosa kuifanya siku ya Uhuru kuwa ya Kisiasa wakati Uhuru unamhusu watu wote hata wasiokuwa wanasiasa au Watumishi.
Makosa hayo yameleta matokeo hasi hata hihi Leo kwa Sababu gharama za kuendesha sherehe za Uhuru zinakuwa kubwa kwa sababu serikali ndio inabeba msalaba pekee yake.

Kama ingekuwa ni sikukuu ya wananchi kila mwananchi angehangaika kwa uwezo wake kuhakikisha anafurahia sikukuu ya Uhuru wa taifa lake.

Mbona sikukuu za kibinafsi zinafanikiwa, mfano maulidi ya Waislam au sikukuu ya Iddi, au sikukuu ya Christmas au pasaka. Na watu wanahakikisha inafanikiwa.
Kwa sababu watu wanachukulia sikukuu hizo personal.

Lazima serikali itafute watu ambao wataandaa mipango na mikakati ya kuifanya sikukuu ya Uhuru iwe ya wananchi.

Timu za Simba na Yanga zitumike kuibusti SHEREHE za Uhuru.
Vyama vya siasa vinaweza kuandaa namna ya kusherekea Uhuru na kuifanya iwe na Tija

Sio siku ya Uhuru watu wakae nyumbani kama wikiendi. Hayo ni matumizi Mabaya ya siku kubwa kama hiyo.

Mashule na taasisi zinazokusanya Makundi ya watu wengi waitumie siku hiyo kufanya SHEREHE, kuburudika au kuandaa programu matata .

Mfano; kwa upande wa Shule;
Wiki Lile la kuelekea Sikukuu ya Uhuru.
Waalimu wataandaa SHEREHE yenye programu fupi isiyozidi nusu siku. Yaani labda kutoka asubuhi Mpaka saa sita mchana. Watu wanakula kisha wanaenda kufurahia.

Watoto wa Shule asubuhi wanaenda shule wakiwa wameambiwa wavae labda tisheti nyeupe zenye maandishi ya Uhuru na umoja na miaka ya Uhuru.
Watoto wasanii wataandaa programu, wazazi wanaalikwa. Mnaandaa mazingira ya watu kuja kwa kupenda, iteni wasanii WA kijiji, wilaya, mkoa, au taifa kulingana na uwezo wa kijiji husika, na shule husika.
Fanyeni SHEREHE na muitishe Harambee ya kuboresha shule kwa mapenzi ya wananchi.
Sio muwe wajingawajinga.

Fanyeni kama Wakristo wanavyofanya shughuli zao.

Sherehe hizi tangu mwaka unaanza Wakuu wa vitengo, taasisi, wenyeviti wa vijiji lazima wawe wamejiandaa kufanya wananchi wapate hamu na hamasa ya siku hiyo.

Mwezi Mmoja kabla vyombo vya habari vikubwa kama kawaida vitaendeleza majukumu yake ya kuamsha uchu na uroda WA sikukuu ya Uhuru.

Vikundi vya wasanii wa jadi, vikundi vya wakulima, vikundi vya wafugaji, bodaboda na vikundi vingine viwe kwenye mpango na viwe na viongozi wanaojua kuratibu matukio ya SHEREHE.

Wafungwa huko jela nao waandae programu Zao za kuwafurahisha na kuwakumbusha kuwa wao ni wafungwa katika nchi Huru.
Nchi Huru inayozingatia HAKI za watu na Uhuru wao.

Kwenye sikukuu za Uhuru kuna pesa nyingi zingekusanywa na miradi Mingi kujengwa kwa pesa za wananchi na watu wanaojitolea kama Sadaka kwa nchi Yao.

Mbona Kanisani wanatoa hizo pesa kwa wachungaji wao na makanisa yao.

Viongozi wa nchi mnashindwaje na wachungaji kugusa mioyo ya watu wajitolee na kufurahia siku ya Uhuru kwa maendeleo yao wenyewe.

Mimi acha nipumzike sasa

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Wee naye! Uzi mreefu! Kwani zimefutwa? Zimeadhimishwa kwa namna nyingine.
 
Sherehe hazijafutwa ila utaratibu wa usherehekeaji ndio umebadilishwa.
 
Sukuma gang at work. Angekuwa magufuli ndo kafuta angeonekana shujaa
 
Zingefutwa tungekwenda kazini kama kawanda na kuendelea na Kazi zetu, lakini hatukwenda siku hiyo kazini kufanya kazi zetu za Kila siku. Kwa hiyo, hazikifutwa.

Leta lingine!
 
Back
Top Bottom