Sherehe za Uhuru hazipaswi Kufutwa. siku ya Uhuru ndio msingi Mkuu wa Taifa

Zingefutwa tungekwenda kazini kama kawanda na kuendelea na Kazi zetu, lakini hatukwenda siku hiyo kazini kufanya kazi zetu za Kila siku. Kwa hiyo, hazikifutwa.

Leta lingine!

Andiko Hilo linahitaji uwe mtu kutafakari sio kukurupuka
 
Utapewa Uhuru wote Lakini siyo wa Kiuchumi

Nyerere alijaribu na Azimio la Arusha akafeli
"Neo-colonialism is a policy that functions on one hand through granting political independence and, when necessary, creating artificial states that have no chance of sovereignty, and on the other hand, through providing 'assistance' accompanied by promises of achieving prosperity, though its bases are in fact outside the African continent."

The result of neo-colonialism is that foreign capital is used for the exploitation rather than for the development of the less developed parts of the world. Investment, under neo-colonialism, increases, rather than decreases, the gap between the rich and the poor countries of the world. The struggle against neo-colonialism is not aimed at excluding the capital of the developed world from operating in less developed countries. It is also dubious in consideration of the name given being strongly related to the concept of colonialism itself. It is aimed at preventing the financial power of the developed countries being used in such a way as to impoverish the less developed.[11]

The essence of neo-colonialism is that the State which is subject to it is, in theory, independent and has all the outward trappings of international sovereignty. In reality its economic system and thus its political policy is directed from outside.
 
Unajuwa ni sawa je kuna uhuru gani while watu wanauwana wanapotea vyama vya siasa shida tupu bora wafute maisha yaendelee
 
Kumamake walai Yani wabongo kuwaongoza inabidi ufunge maskio unawapeleka kama punda tu,hatujawai kueleweka tunataka Nini..kipind kile zinafanywa sherehe nongwa tunalalamika pesa nyingi zinatumika,hazifanyiki Bado tunalalamika kumamae ..
Hii nchi ukiwa kiongozi tupeleke t kama punda usiskilize m bongo hatujui tunqchotaka
 

Wewe ndio hujui unachotaka

Gharama inakuwa kubwa kwa sababu SHEREHE zipo kisiasa zaidi na serikali ndio inabeba mzigo wote yenyewe
 
Robert ongera sana tena sana kwa Andiko zuri sana ambalo limeandikwa kwa akili nyingi sana.
Wafanya maamuzi wakilitumia kama rejea andiko lako kwenye Siku Kuu ya Uhuru wa Nchi yetu kila mwaka naamini matokeo yake yatavuka maoteo kwa asilimia za kushangaza.
Aidha,Amani,Upendo na Mshikamano miongoni mwetu vitaimarika kwa kiasi kisichopimika.
Nakosa mameno mazuri ya namna ya kuelezea uzi wako.

Naomba uzi upokelewe na utumike kama rejea katika kufanikisha siku kuu ya uhuru wa nchi yetu.

Ahsante sana Robert,

Article
 
Wewe ndio hujui unachotaka

Gharama inakuwa kubwa kwa sababu SHEREHE zipo kisiasa zaidi na serikali ndio inabeba mzigo wote yenyewe
Nyinyi mnahitaji rais kama jiwe princpal n hakuna kumskiliza mbongo fanya unachoona wewe ni sawa na ubabe mwingi mixa kila sku waskie Kuna viroba vimeokotwa coco beach hapo utamuongoza mbongo,kimya Yani huski kelele.
 
Ni makosa makubwa na yakimkakati kufuta SHEREHE za Uhuru.

Rais Dkt. Samia aagiza fedha za maadhimisho ya Uhuru kutumika kwenye huduma za kijamii-Majaliwa​


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza Maadhimisho ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanzania Bara kwa Mwaka 2024 yafanyike katika ngazi ya mikoa.

Amesema kuwa kila mkoa uhakikishe Wilaya zake zinafanya shughuli za kijamii ikiwemo upandaji miti, usafi wa mazingira katika maeneo ya kijamii kama vile kwenye Masoko, Hospitali, Kambi za wazee na wenye mahitaji maalum, mashindano ya michezo mbalimbali pamoja na makongamano na midahalo ya kujadili maendeleo endelevu ambayo nchi yetu imefikia katika kipindi cha miaka 63 ya Uhuru.


Naomba unionyeshe sehemu inayosema rais kafuta maadhimisho kwenye hilo tamko la serikali.

Mimi naona kabadilisha mfumo wa maadhimisho ambao hata marehemu Magufuli aliufanya sana.
 
Nafikiri ni kupunguza kutaja Tanganyika ili tuisahau.

Zanzibar iliungana na Tanzania bara sio Tanganyika!!!

Heri wangefuta mwenge ubaki alama ya kumbukumbu njema!
 
Mashirika na taasisi mbalimbali za kiserikali, vyombo vya habari, taasisi binafsi zinapaswa katika siku hiyo ziandae programu zenye mashiko kuonyesha umuhimu wa siku ya Uhuru katika maendeleo ya nchi yetu na taasisi husika.
Amesema kuwa kila mkoa uhakikishe Wilaya zake zinafanya shughuli za kijamii ikiwemo upandaji miti, usafi wa mazingira katika maeneo ya kijamii kama vile kwenye Masoko, Hospitali, Kambi za wazee na wenye mahitaji maalum, mashindano ya michezo mbalimbali pamoja na makongamano na midahalo ya kujadili maendeleo endelevu ambayo nchi yetu imefikia katika kipindi cha miaka 63 ya Uhuru.

 
Nyinyi mnahitaji rais kama jiwe princpal n hakuna kumskiliza mbongo fanya unachoona wewe ni sawa na ubabe mwingi mixa kila sku waskie Kuna viroba vimeokotwa coco beach hapo utamuongoza mbongo,kimya Yani huski kelele.

😃😃

Akili ikiwa urefu wa pua haiwezi ona mbele.
Nilichokiandika sio kwa watu wenye akili yenye urefu wa Pua.

Unazungumzia gharama Mimi nazungumzia utaifa, imani, uzalendo, umoja, mshikamano.

Ndio maana ukamtaja jiwe kwa sababu akili yako haina tofauti na mawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…