Sherehe za Uhuru hazipaswi Kufutwa. siku ya Uhuru ndio msingi Mkuu wa Taifa

Au cyo.
 
Mimi naona zifutwe maana kuziendeleza ni kuendelea kumtukuza mkoloni vichwani mwetu kwanini tusiassume kwamba hatujawahi tawaliwa mbona pia Kuna mataifa ya ulaya yashawahi tawaliwa miaka 1000 iliyopita lakini sijawahi sikia yakisherekea uhuru?
 
Kufuta sherehe za uhuru ni danganya toto. Misafara yao tu ni mabilioni ya walipa kodi yanateketezwa. Magari wanayp nunua ya kifahari ndiyo balaa zaidi.
 

uhuru wa nchi gani ??
 
Kwa TZ hii iKifanyika hivyo upigaji wa mapesa utakuwa ni mkubwa kwa kiasi gani?
 

..hoja yako ni nzuri sana.

..lakini sisi tumefuta hata jina la nchi, yaani TANGANYIKA.

..hata tunapoamua kusherehekea Uhuru tunasema ni uhuru wa Tanzania Bara, kitu ambacho ni ulaghai.

..labda nirejeshe swali kwako, Je, ni sahihi kusherehekea uhuru wa Tanzania Bara?

..kusherehekea uhuru wa Tanzania Bara, badala ya Tanganyika, sio sawa na kufuta na kutotambua uhuru wetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…